Re: Uwaziri Mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Uwaziri Mkuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lutala, Mar 8, 2011.

 1. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Waheshimiwa wanaJF nataraji mnaendelea na majukumu yenu ya kiutendaji vizuri kabisa. Nahitaji michango yenu katika jambo hili: KAMA CHEO CHA UWAZIRI MKUU KINGEKUWA KINAPIGIWA KURA:
  1. NANI KATI YA JOHN MAGUFULI NA MIZENGO PINDA ANGEWEZA KUCHAGULIWA KATIKA NAFASI HIYO
  2. TOA VIGEZO VYAKO KWA HUYO ULIYEMCHAGUA

  Natanguliza shukrani zangu kwa ushiri wako katika uatfiti huu
   
 2. C

  Calist Senior Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magufuli anasifa zote ana uwezo wa kuthubutu lakini pinda anapwaya mno hana maamuzi binafsi na anaogopa sana lawama, si kiongozi wa mfano mzuri.
   
 3. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Pinda hana haiba .....evolution ilikwama kabla haijafikia kikomo....halafu anatuzuga na dhana ya mtoto wa mkulima huku anachota.......
   
Loading...