Mkuu Mtazamaji: Hizi project za namna hii zipo za aina nyingi,nnataka jua mengi kabla ya kutoa solution
Mfano Je Computer yake ina OPerating system ipi? Windows or Linux? Kama windows ni windows ipi? 95,Vista or?kama ni Linux ni Linux ipi?
Je computer anayotumia ina serial port au aina?
So kuna vitu vingi nnatakiwa kujua toka kwa Mr.Professional.
Akishani PM his requirements then ntarudi barazani kumwaga shule ucjali mkuu
This is the best thread in technlogy subforum fort the year 2010.
Dr Phone na wewe CalvinPower ni wazushi tu.
Katika programing akuna AT mega kwenye programing.
CalvinPower wewe ulichoandika hapa ni eeprom content addresses!
Yaani mmepotosha kabisa,na cjui hizo simu mnazitengenezaje?KAMA KITU UKIJUI KAAENI KIMYA SIO LAZIMA MKOMENT JAMANI kama unajua unajua kama ujui ujui.
Ku unlock simu kwa mabox na software walizotengeneza wazungu na kuja kuchakachuliwa na WACHINA sio UJUZI.
Enzi zetu hizo MBUS na Fbus tulikuwa tunaziunda wenyewe kwa kutumia Max 232 IC. Acheni kuzuga wenzeni kuweni wakweli.
Najua umewai au umesikia mtu anaeitwa KIBABU,YAHAYA,SELE,MWESIKA SAID SAPNA na wengineo wengi hao wote wananijua nna uwezo gani ktk Cellphone repair and programing! Acheni madudu kuweni makini wajameni
Happy 2011
Nashukuru kwa kunielewesha. mimi nilikuwa naongelea micro controla. maana najua simu anayo. vilevile hiyo microcontrola inapokea ujumbe wa sms. angalia jinsi xmass lights zinavyofanya kazi. yaan microcontrola inakuwa imekuwa programmed, washa taa hizi halafu hizi na hizi. sasa kama utatumia idea ya kuweka simu badala ya kuiprogram wewe ukaweka sim ukatumia ujumbe wa sms lets say a cheap phone(nk 3310) na hiyo microcontrola ikafuata huo ujumbe.nimeweka picha ya simple microcontrola. hapo imetumia ic Max232 lakini mimi nilipropose ic ya FTDI maana inaspidi kuliko Max232. na hapo kuna hiyo atmega IC. na port mbili yaani moja inachomekwa kwenye simu na nyingine ndio inakwenda kwenye hiyo mitambo yako.halafu chipkizi hakunielewa mimi sikuweka programming language wala sikuongelea mambo yaprogramming language. niliweka commands ambazo imu na hiyo microcontrola itakuwa inabadilishana.Mkuu, kwa jinsi nilivyomwelewa mimi - katika project ya Mr. Professional micro-controller haihitajiki. Ndiyo unaweza iunganisha simu with a microcontroller but it is not necessary as current handsets are powerful and feature rich enuff to do a job of a full blown embedded system. They are embedded systems per se.
Anyhow, Mr. Professional is after some ideas:
-- 1. You need a dedicated fone (receiving only) attached to a PC (host) (preferably) HTC with manoeuvrable OS (android) or another linux based OS. windows mobile, symbian or iphone OS aren't favorable for this sort of things. Then find tools on the net which will extract call list data from the fone, you can program this yourself (as you have suggested) or search the net for similar codes (i believe there are tons out there). There and then, data can be formatted into XML file type and be easily accessible remotely via http on a browser or console.
(From little I can understand in your initial query - these are mere concepts, and since you have asked for ideas, with time and by reading further into your intended project I could come up with few more...)
-- 2. Software bundled with new fones are feature rich (particularly Nokia). You can have phone call management software by nokia installed on your pc, then get (buy) a software to read and extract data from other applications on your pc. On the same pc you can have another software to dial (phone dialler) to alert or send single or batched text files from your pc. You can possibly achieve this by exploring micro recorders on your pc. With a bit of effort about programming micros using visual basic, or ms access or indeed any other micro enabled application, it should be possible to automate the entire process: - attach your two phones to PC via standard USB, one phone receiving calls and the other dialling out to some dedicated number of your choice where you would have access to the info being sent. I suggest you research more in micros recording procedures to accomplish this. This might be the easiest option in my opinion than one above whereby you would need to write your own code. On the other hand, using micros is a known technique and a variety of tools are at hand should you know which is which and what route to take. I shall find time to read more about this interesting project... otherwise, good luck!!
Happy New Year.
Steve Dii
CalvinPower unachoongea hapa ni madudu tu na sio msaada kitu.
Mr.Professional unaweza kutengeneza this program na missed calls ikawa password.Kwa kutumia any programing languange but C++ itakuwa nzuri zaidi kwa kazi hii.
Most of handset za siku hizi zote zinaweza kufanya kazi hii.
tuliwai kutengezeza system for zain now Airtel ambapo unaweza tuma comand kwenda kwenye mnara wa simu na katika mnara usika,generator ikawaka au kuzima,au ukauliza kuna lita ngapi za mafuta zipo ndani ya tank,au ukapata sms kuwa mlango wa BTS upo wazi.
Mbali na simu pia utaitaji another circuit ya kufanya maamuzi unayoicomand simu kufanya.ni PM
Ntakupa all required data and circuit diagrams needed to make this project of yours successfully
senkyuuumlitumia kifaa aina gani hapo? je ilikuwa inakupa info kwa namna ipi huku ukiwa na simu upande wa kule kwenye Bts umeweka nini hasa ili upate jua kinachijiri hebu nifafanulie nipate idea yako.
senkyuuu
Chipukizi mbona umepotea tena? rudi tupeane maujuzi bwana mimi ulivyokuja ilikuwa changamoto kwangu mkuu lets finish tulichokiaza may be I was wrong na ningependa kujifunza kutoka kwako lakini isiwe kwa pm ili membas wengine nao waweze kupata mwamko. ......
Mtazamaji umenifanya nionekane kituko hapa maana baada ya kusoma huu ujumbe wako nilishindwa kujizuia kucheka kwa sauti mpaka kila mtu akawa ananiangalia. kwi kwi kwi.......Wasi wasi wangu kuwa hata chipukizi hana detail nzuri za solution inayotakiwa japo anaelewa. Alivyosema anataka awe pmed na anataka kwanza ajue mleta mada anatumia OS ipi na kama pc yake ina serila port nimeona ana kwepa kwepa. I thought swali la muhimu kabla ya OS au serial port ingekuwa kujua ni language gani jamaa anatumia.
Kwa manufaa ya kuelimika may be na mleta mada atumbie yeye idea aliyokuwa nayoni ipi kwanza . Au na yeye alileta mada kuchemsha baraza tu .wich is not bad.
Mimi nin wazo la ajabu lakini kwa elimu sio mbaya kujifunza. si nia mbaya.
Tutumie google tuone wale wanaotumia simu ku detonate mabomu wanafanyaje ? Through that we can learn something useful ( "Hack to learn and not learn to hack")
Mtazamaji umenifanya nionekane kituko hapa maana baada ya kusoma huu ujumbe wako nilishindwa kujizuia kucheka kwa sauti mpaka kila mtu akawa ananiangalia. kwi kwi kwi.......
kwi kwi kwi kwi
mkuu hapa unahitaji simu ambayo itakuwa connected na microcontroller ambayo ikipokea ujumbe kutoka kwenye simu ina-trigger unachotaka kufanya. na vile vile kama unataka ikuleete majibu kuwa ulichokituma umefanikiwa. sasa hapa kwenye kukurudishia ujumbe ni lazima uweke zile ambazo hazitakula vocha. yaani "please call me" yaani ikikutumia "please call me" maanake gari imesha lock. naomba unipe mda kidogo niifanyie kazi halafu tuje tuijadili kwa pamoja.umecheka nini kamanda teh teh
Alfu nipe shule zaidi Mfano tofauti kidogo nahoja ya mleta nataka kuifanya Nokia kutumika ku unlock nakulock gari.. Nahitaji nini na code gani hasa. Maana nimeziona zile code ulizashusha mwanzo lakini nilibaki mweupe. Niko inerested kujua
Dear member of the flow!
Am looking for a proper programming codes to develop a project whereby I can use a mobile missed call as a password for security purposes in opening a particular application in my PC.
the idea of using a mobile missed call is just to have a unique password where no one can temper it. please i need some idea
mkuu hapa unahitaji simu ambayo itakuwa connected na microcontroller ambayo ikipokea ujumbe kutoka kwenye simu ina-trigger unachotaka kufanya. na vile vile kama unataka ikuleete majibu kuwa ulichokituma umefanikiwa. sasa hapa kwenye kukurudishia ujumbe ni lazima uweke zile ambazo hazitakula vocha. yaani "please call me" yaani ikikutumia "please call me" maanake gari imesha lock. naomba unipe mda kidogo niifanyie kazi halafu tuje tuijadili kwa pamoja.
kifupi kama ni user mmoja. unatakiwa uwe na simu mbili. moja simu (A) inatuma sms kwenda kwenye simu ya pili (B) hii simu ya pili inakuwa connected na microcontrola kupitia fbus. halafu hapa kwenye microcontrola ndio inafanya kazi ya kutriga na kurudisha ujumbe kwenye simu (B) ambapo wewe utakuwa umeprogram i-dial lets say please call me kwenye simu (A)
nina circuit ambazo hiyo kazi yako itawezekana na zinatumia microcontroller ila zipo kwenye pc yangu ya p3 itanibidi nitoe hard disk halafu niweke kwenye external. kuna a very simple one inakuwa na ON/OFF kwa njia ya sms itakufaa ila sijaijaribu kwenye haya masimu mapya.
(mimi sio mtunzi wa hizo circuit ila nilikutaga kwenye mitandao)
nimekupata mkuu pamoja na kwamba mimi sio mtaalm sana ila nipo kwenye vi-microcontroller vya chini sana maana hizi za juu sina uwezo wa kununua hayo ma jtag programmer. any way unataka kutengeneza xmass tree? au Robot?
calvinpower unachoongea hapa ni madudu tu na sio msaada kitu.
mr.professional unaweza kutengeneza this program na missed calls ikawa password.kwa kutumia any programing languange but c++ itakuwa nzuri zaidi kwa kazi hii.
Most of handset za siku hizi zote zinaweza kufanya kazi hii.
Tuliwai kutengezeza system for zain now airtel ambapo unaweza tuma comand kwenda kwenye mnara wa simu na katika mnara usika,generator ikawaka au kuzima,au ukauliza kuna lita ngapi za mafuta zipo ndani ya tank,au ukapata sms kuwa mlango wa bts upo wazi.
Mbali na simu pia utaitaji another circuit ya kufanya maamuzi unayoicomand simu kufanya.ni pm
ntakupa all required data and circuit diagrams needed to make this project of yours successfully
dr phone na wewe calvinpower ni wazushi tu.
Katika programing akuna at mega kwenye programing.
Calvinpower wewe ulichoandika hapa ni eeprom content addresses!
Yaani mmepotosha kabisa,na cjui hizo simu mnazitengenezaje?kama kitu ukijui kaaeni kimya sio lazima mkoment jamani kama unajua unajua kama ujui ujui.
Ku unlock simu kwa mabox na software walizotengeneza wazungu na kuja kuchakachuliwa na wachina sio ujuzi.
Enzi zetu hizo mbus na fbus tulikuwa tunaziunda wenyewe kwa kutumia max 232 ic. Acheni kuzuga wenzeni kuweni wakweli.
Najua umewai au umesikia mtu anaeitwa kibabu,yahaya,sele,mwesika said sapna na wengineo wengi hao wote wananijua nna uwezo gani ktk cellphone repair and programing! Acheni madudu kuweni makini wajameni
happy 2011