Nimenunua godoro si zaidi ya miezi minne iliyopita la banco , lile la size ya mwisho. Niliamini Super banco ni zuri na wametoa guarantee ya mwaka. Lakini, sasa hivi ni chanzo cha kuamka shingo au mwili unauma kwani na maumivu mengine ya mwili kwa ujumla yaani ni kero tu, godoro linabonyea kwa ndani...
Naomba uzoefu wa magodoro mengine, au ni spring mattress tu??
Naomba uzoefu wa magodoro mengine, au ni spring mattress tu??