Nilimaanisha hapa kwenye nyekundu nadhani uliacha last attempt hujafanya kwa sababu ukifanya lazima ina-wipe simu yako.
Good luck ila kama nilivokueleza ikiwa ni Network lock ( after 10 attempts) hakuna tamaa, ila kama ni IT policy ndio ilikuwa inasumbua basi ukifuata haya maelezo utafanikiwa, kila la kheri.