Zinafutika na nafasi kuachwa wazi, kama unapofuta maandishi kwenye ubao.
Na huko kwenye mitandao wanako track communications pia zinafutika?
Na huko kwenye mitandao wanako track communications pia zinafutika?
Mwanzisha maada ana maswali ya kijinga sana, ananikumbusha enzi tunasoma kuna mtu alimuuliza mwalimu swali akashindwa darasa zima tukachapwa kwa kucheka.
Eti mvua inatokana na jua kuwaka hivyo inapandisha unyevu nyevu, ndio maana jua likiwaka watu wanasema leo mvua itanyesha, swali, "Kwa nini kipindi chakiangazi mvua hazinyeshi kwa wingi kwa sababu jua linawaka sana tena kila siku?"
dah jamaa umenikumbusha muvi ya 3 ****** ambapo yule lecturer alvyojibiwa na kijana jiniasi Rancho,,
Ha ha ha, Rancho mzee wa All is well, all is well, all is well. Naikumbuka hii ilizungumzia issue ya penseli badala ya kalamu.
mkuu haka ka muvi kanaonekena ni kazuri ila mnakabania sasa, embu kawekeni wazi basi, kanaitwaje tu- torrent sie saiz!!Na pale alipoulizwa definition ya machine akajibu simpo then ticha akamwambia atoke nje ya class akadeshi anatoka then akarudi ticha akamuuliza kwanin amerudi,jibu alilopewa na Rancho alichoka! Alipewa maelezo mareeeefu kumbe alikua anamaanisha daftari,khaaa Rancho alikuwa soo!
ukifuta kitu kwenye simu au computer ni kwamba wewe huoni lakini zinakuwepo. Kinachotokea unakuwa umefuta information ya root za hiyo data hivyo system uwa ina asign index table zilipokuwa hizo data kuwa ni free for use. Ukiweka data nyingine ndipo zinakuwa replaced.
Ndiyo maana kwa kutumia data recovery software unaweza zirudisha kwa kuwa zinakuwepo kinachofanyika ile software ina rebuilt information ya hizo data kwenye system na kufanya index table isiwe free for use tena na ili uweze zipata ni rahisi zaidi kama toka uzifute hujaongeza data nyingine maana zitakuwa hazijawa replaced so kunakuwa na probability kubwa ya kuzipata zote
mkuu haka ka muvi kanaonekena ni kazuri ila mnakabania sasa, embu kawekeni wazi basi, kanaitwaje tu- torrent sie saiz!!
mkuu haka ka muvi kanaonekena ni kazuri ila mnakabania sasa, embu kawekeni wazi basi, kanaitwaje tu- torrent sie saiz!!
sawa..sasa embu nipe jina la hii muvi basi niishushe fasta..Mi huwa natumia files tube kushusha mavituuz