Re: Third born

Re: Third born

Bayo

Senior Member
Joined
Jul 2, 2009
Posts
195
Reaction score
34
eti ukitaka kumuuliza baba yako mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwa kiingereza utamuulizaje??
 
nzee sana hii humu ndani, sijui umeitafuta ya nini
 
khaaaa ! Kama umechemka usiambiwe kwan ww ndo nani ?
Unajua wewe hutumii akili. Unataka mabishano tu.. Kila mtu humu anahaki yakuuliza anachotaka, Tumeumbwa tupendane na kujali mambo ya wenzetu.. Wote mlyo mpinga mmekosea, na itakuwa upumbafu kama hamta liona hilo.
 
Unajua wewe hutumii akili. Unataka mabishano tu.. Kila mtu humu anahaki yakuuliza anachotaka, Tumeumbwa tupendane na kujali mambko ya wenzetu.. Wote mlyo mpinga mmekosea, na itakuwa upumbafu kama hamta liona hilo.

Halafu nimegundua kuna watu wengine vichwani mwao hawana utashi,yan akili zao hazina muda wa kuwaza waseme nini.
Tuwaombee wapate busara
 
father,me is son of how many? (this is not broken english). Nalog off
 
Back
Top Bottom