Re: Nyumba inapangishwa; 150,000

golden pride

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
847
434
Wakuu poleni na pilika pilika za sikukuu. Wakuu napenda kutoa mrejesho. Nyumba bado haijapata mpangaji; nadhani labda ni kwa vile haina umeme; na pia labda umbali kutegemea na shughuli nyingi za watu kuwa mbali na huko. Bado bei yangu ni ile ile kwa ajili ya wanyonge wenzangu. Umeme upo mbioni kuanzia kesho ndo pilika pilika za hio kitu. Karibuni mjionee wenyewe
 

Attachments

  • 20170625_170555.jpg
    20170625_170555.jpg
    38 KB · Views: 54
iko wapi mnachukua kodi kwanzia miezi mingapi miwili mnakubali?
 
Ipo OTE="Mwifwa, post: 21881892, member: 426498"]Poa mkuu.

Mwanzoni uliwahi kutaja sehemu ilipo?
[/QUOTE]
Ipo Freetown; njia ya kwenda mpigi majohe; karibu na kwa mbunge mstaafu. Kutoka mbezi mwisho; unaingilia kwa yausufu. Hadi Nyumba ilipo na kituo cha daladala dakika 3 tu
 
Ipo OTE="Mwifwa, post: 21881892, member: 426498"]Poa mkuu.

Mwanzoni uliwahi kutaja sehemu ilipo?
Ipo Freetown; njia ya kwenda mpigi majohe; karibu na kwa mbunge mstaafu. Kutoka mbezi mwisho; unaingilia kwa yausufu. Hadi Nyumba ilipo na kituo cha daladala dakika 3 tu[/QUOTE]
Inategemea na mwandamo wa mwezi kupata mpangaji. Safisha mazingira ya nje. Nyumba utadhani iko Kibiti
 
Luna TE="Bujibuji, post: 21933504, member: 13443"]Ipo Freetown; njia ya kwenda mpigi majohe; karibu na kwa mbunge mstaafu. Kutoka mbezi mwisho; unaingilia kwa yausufu. Hadi Nyumba ilipo na kituo cha daladala dakika 3 tu[/QUOTE]
Inategemea na mwandamo wa mwezi kupata mpangaji. Safisha mazingira ya nje. Nyumba utadhani iko Kibiti[/QUOTE]
Kuna dogo anakaa pale kipindi hiki; amepanda kunde nje
 
[QUOTni "Bujibuji, post: 21933504, member: 13443"]Ipo Freetown; njia ya kwenda mpigi majohe; karibu na kwa mbunge mstaafu. Kutoka mbezi mwisho; unaingilia kwa yausufu. Hadi Nyumba ilipo na kituo cha daladala dakika 3 tu[/QUOTE]
Inategemea na mwandamo wa mwezi kupata mpangaji. Safisha mazingira ya nje. Nyumba utadhani iko Kibiti[/QUOTE]
Hizo ni kunde
 
-Nyumbi iko wapi?
-Umbali wa kutoka kwenye nyumba mpaka kituo cha bus?
-Maji?
-Hali ya usalama ya hapo?
-Je kuna nyumba nyingine karibu?
Nyumba iko kibiti, dk 5 kutoka barabara ya lami , maji ni ya kisima cha kuchimba lkn tupo mbioni kuweka maji ya bomba
 
Back
Top Bottom