golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 433
Wakuu poleni na pilika pilika za sikukuu. Wakuu napenda kutoa mrejesho. Nyumba bado haijapata mpangaji; nadhani labda ni kwa vile haina umeme; na pia labda umbali kutegemea na shughuli nyingi za watu kuwa mbali na huko. Bado bei yangu ni ile ile kwa ajili ya wanyonge wenzangu. Umeme upo mbioni kuanzia kesho ndo pilika pilika za hio kitu. Karibuni mjionee wenyewe