mvukiyefrancis
Member
- Dec 8, 2012
- 31
- 8
Wadau wa JF, mimi nina mashine ya kutotolesha vifaranga. Tatizo ni jinsi ya kupata mayai. Naomba mnisaidie wapi nipate mayai yaliyolelewa kwa ajili ya kutotoleshwa. Niko Mbeya , ILEJE.
Wadau wa JF, mimi nina mashine ya kutotolesha vifaranga. Tatizo ni jinsi ya kupata mayai. Naomba mnisaidie wapi nipate mayai yaliyolelewa kwa ajili ya kutotoleshwa. Niko Mbeya , ILEJE.
Upo Mbali sana ungekuwa Morogoro ningekusaidia maana nayo mayai yakitikiswa sana ni hatari yanaweza kutototoreshwa
kama ni kuku weusi wa malawi tuwasiliane kwa 0754476976 mayai yapo ya kutosha,wadau wa jf, mimi nina mashine ya kutotolesha vifaranga. Tatizo ni jinsi ya kupata mayai. Naomba mnisaidie wapi nipate mayai yaliyolelewa kwa ajili ya kutotoleshwa. Niko mbeya , ileje.
Mkuu hizi kampubi haziuzi mayai kamwe, na kampuni kalibia zote huwa hawataki kuuza mayai bali vifaranga.Kama unahitaji kutotoa kuku wa kisasa ie:broilers,layers na cocks jaribu kutafuta mawasiliano na poutry farms kama mkuza,amadori,dar chicks,interchicks nk...
Mkuu hizi kampubi haziuzi mayai kamwe, na kampuni kalibia zote huwa hawataki kuuza mayai bali vifaranga.