Re: My husband

kwani ww umem-save aje? ungemuachia simu na ww aone ulivyom-save 'kimeo'.
wakati mwingine tunalaumu wanaume kwa kuwaonea! hicho kimeo kimeshaambiwa kuna mpnz anaependwa kwa dhati, sasa yeye amebakia kujiita wife! maigizo@itv.com!
mmmmmmmmh!...nimemsevu _igwe's girl friend....hapo je!

Kwel! Ndo maana alimpa simu kwa uhuru woote akijua ataangalia majina na sms,wala hukumficha alijua sana utaangalia,teh!teh!teh!u know wat! u have 2b a happiest cheater coz kakuita huzb angekuita kipozeo,mwiz,skinwa nk c pangetosha kwel?bt u have 2reason ni ngumu sana kupewa simu na mdada ALI RESAVE SOON BEFORE KUKUTANA AKUTEKE,b care ni sehemu ya women trap.

Before you start bragging about your adventure and "kingdom" get yourself checked for various sexual diseases and then come back and narrate your tale.

eheee......there you are.....kadri unavyotaka kuona mwisho....ndivyo unavyozidi kutokomea ndani ya penzi la kucheat.......

hapo sasa,..sijui itakuwaje?...

Kweli hii ni limbwata na huyo dada anajua anachokitafuta kwa kukusave hilo jina akifanikiwa atakusave "buzi"

Hahahahahah.....you made my day...lol..

Keren yaani saa nyingine watu tunakuwa kama vile akili tumeshikiwa na mtu. Sasa kweli hapo kilichomfanya asevu hilo jina hivo ni nini huku kaambiwa wazi? Si upoyoyo huo?

Salaam!..
Nilicheat na mdada mzuri na mwenye uelewa kwa vigezo vyangu anyway_na hii ilikua wiki iliyopita,...sasa juzi kanipigia cm nimpitie ofisini kwake(ana duka la vipodozi).tukaenda sehemu kupata 1 moto 1 baridi ingawa yeye hatumii kileo,..akanipa simu yake eti nimshikie mpaka tutakapoagana.

Sasa ndipo nikaanza kuipekechua kuangalia kilichomo ingawa kwa uangalifu mkubwa asije akajua nafanya nini?...haa!..nikajagundua amenisevu eti "my husband",.....mmmmh!..sijamuuliza ingawa nimeshangaa kidogo kwani,anajua fika nina mpnz wangu ninayempenda ingawa nimemcheat.

My take:Je_hii ndio stail mpya badala ya ile ya baby,sweet,honey etc......au kuna maana ingine nyuma ya pazia?

Nb:msiniulize kwanini sijamuuliza

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeee..........................

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee............

Salaam!..
Nilicheat na mdada mzuri na mwenye uelewa kwa vigezo vyangu anyway_na hii ilikua wiki iliyopita,...sasa juzi kanipigia cm nimpitie ofisini kwake(ana duka la vipodozi).tukaenda sehemu kupata 1 moto 1 baridi ingawa yeye hatumii kileo,..akanipa simu yake eti nimshikie mpaka tutakapoagana.

Sasa ndipo nikaanza kuipekechua kuangalia kilichomo ingawa kwa uangalifu mkubwa asije akajua nafanya nini?...haa!..nikajagundua amenisevu eti "my husband",.....mmmmh!..sijamuuliza ingawa nimeshangaa kidogo kwani,anajua fika nina mpnz wangu ninayempenda ingawa nimemcheat.

My take:Je_hii ndio stail mpya badala ya ile ya baby,sweet,honey etc......au kuna maana ingine nyuma ya pazia?

Nb:msiniulize kwanini sijamuuliza
NB: USITUULIZE KUNA NINI NYUMA YA PAZIA lol!!!!!

hehehe,bht huwajui majambazi wastaarabu eeh? hapo anamuibia tu ili amuone wa maana na anampenda kuliko mpenziwe ambaye keshamchosha i ajabu namba kaisave bila hata jina! na ndo maana kamuachia simu aone. nextime ataandika 'my king'. anakula na kipofu huyo,lol! (ndo maana nakuambia kila siku kamata manati uanze kumuwinda huyo mkaka wako,weeh unajidai mchaga! shauri yako)

Keren yaani saa nyingine watu tunakuwa kama vile akili tumeshikiwa na mtu. Sasa kweli hapo kilichomfanya asevu hilo jina hivo ni nini huku kaambiwa wazi? Si upoyoyo huo?

• Thanks
Reactions: bht
hehehe,bht huwajui majambazi wastaarabu eeh? hapo anamuibia tu ili amuone wa maana na anampenda kuliko mpenziwe ambaye keshamchosha i ajabu namba kaisave bila hata jina! na ndo maana kamuachia simu aone. nextime ataandika 'my king'. anakula na kipofu huyo,lol! (ndo maana nakuambia kila siku kamata manati uanze kumuwinda huyo mkaka wako,weeh unajidai mchaga! shauri yako)

Kwanza hiyo tu kukaa nayo kichwani mpaka leo kuja kuanzisha thread tayari msichana ni winner
hiyo ni step one

Back
Top Bottom