Re: My husband

Mwenzio ndo kashapa husband hivyo......na ndo maana alikupa simu uone! Hongera kwa kuoa IGWE..:)
 
<br />
<br />

Mae kwani wewe umeelewa ni mahusiano gani? Si kajisemea mwenyewe ni ya kuchiti na aliyechiti naye anajua jamaa bado ana mtu wake ....

ndio mna naona kama mdada ana upec, anayajua yote hayo bado anambatiza mwana wa mwenzie jina jipya....kuna mambo yanashangaza kweli, sasa mdada anajua kabisa man ana wake inahusu nn kuwa na uhusiano wa kmapenzi na mtu kama huyu, ni kujifurahisha mwili ama? na mwanaume kabisa anasema ana wake anaempenda kwa dhati lakini aliona ngoja achiti, kweli pole kwa anaependwa kwa "dhati"......mae nilikumiso sana....hata umu sms dada yako kujua kama bado anapumua?
 
Hiyo maneno ilikuwa kwaajili ya dating na wewe tu!

Alijiandaa toka asubuhi kuwa anaenda kuwa cheated, hivyo alijiweka sawa kila idara, mojawapo ikiwa ni ku'edit jina alilokusave nalo.
Siku Mtokee ghafla ofisini kwake kama utathubutu kupewa uguse hiyo simu!..La utaona ataaga anaenda toilet, then anaedit fasta!
Achana na hawa watu bana!

We huwa huoni tukikaa kwenye yale mavikao yetu ya "mbesii", simu zinawekwa silence, halafu mtu anawasiliana na mjamaa kwa msg tu, tena anaandika ujumbe simu ikiwa uvunguni mwa meza au kwenye pochi!!....wanawake wamesomea hayo maneno bana!

Kwa mtizamo wangu, huyo 'ndito' alikuzidi maujanja mbaya kabisa chalii yangu!
 
Nyamayao my dearest of the dearest....nilikumiso pia ila nikasema ngoja nikuache uzisake kwanza maana ndo muda. Niliamini u hai bana.

Yaani haya mapenzi ya dhati naona yana definition mpya. Na huyo dada naye bumunda tu
 
Mshiki hebu toa maelezo kidogo nini sifa ya bumunda?
 
  • Thanks
Reactions: bht
usishangae ni Usanii kwenye kazi yake kama kawaida......................mh!

huku ni kutamaniana tu hakuna lolote, umeona igwe anasema ana wake anapenda kwa "dhati"...mapendo ya kileo haya yana mambo,udhati upo wapi hapo?
 
Hiyo maneno ilikuwa kwaajili ya dating na wewe tu!

Alijiandaa toka asubuhi kuwa anaenda kuwa cheated, hivyo alijiweka sawa kila idara, mojawapo ikiwa ni ku'edit jina alilokusave nalo.
Siku Mtokee ghafla ofisini kwake kama utathubutu kupewa uguse hiyo simu!..La utaona ataaga anaenda toilet, then anaedit fasta!
Achana na hawa watu bana!

We huwa huoni tukikaa kwenye yale mavikao yetu ya "mbesii", simu zinawekwa silence, halafu mtu anawasiliana na mjamaa kwa msg tu, tena anaandika ujumbe simu ikiwa uvunguni mwa meza au kwenye pochi!!....wanawake wamesomea hayo maneno bana!

Kwa mtizamo wangu, huyo 'ndito' alikuzidi maujanja mbaya kabisa chalii yangu!

weee.....ha ha....
kwanzia leo nakusave.....Low Battery....
 
Igwe kesho utakuta amekusave ****............toka huko mapema kabla vurugu haijaanza
 
keshakupata ndo maana umeandika hvyo mkuu unamfil alafu hauamin kama umeseviwa ma husband kwako unaona bonge ya dili
 
Nyamayao my dearest of the dearest....nilikumiso pia ila nikasema ngoja nikuache uzisake kwanza maana ndo muda. Niliamini u hai bana.

Yaani haya mapenzi ya dhati naona yana definition mpya. Na huyo dada naye bumunda tu

haaa hivi bado yapo hayo...hahahah.....kweli kuna watu cjui huwa wanafikira nn, mtu unajua kabisa jamaa anajipitia tu na we upo tayari kabisa kupitiwa, na unambatiza upya....pweeehhh
 
  • Thanks
Reactions: bht
Back
Top Bottom