Re: MuME MLEVI NA HAACHI MATUMIZI

Re: MuME MLEVI NA HAACHI MATUMIZI

kibebi

Senior Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
111
Reaction score
267
Hope everybody is fine.

Hebu tushauriane hapa (mwanamke mwenzetu ameomba ushauri);

mwanaume ni mlevi. anaondoka asubuhi hadi usiku mwingi yeye yuko bar tu analewa mwanzo mwisho. Kama siku za kazi basi akirudi ni huko juu kwa juu kwenye bar kulewa hadi usiku wa manane. Nyumbani haachi hela ya matumizi ila akikuta msosi anakula ila kamwe haachi matumizi (mke ndio anatafuta hela ya matumizi ya nyumbani). ndoa haina zaidi ya mwaka mmoja na nusu. Je achukue hatua gani? anawezaje kukomesha hili tatizo?

Tumsaidie.
 
Dawa ni kuficha ATM zake zote.
Njia ya pili ni yeye kumpeleka mahakamani.
Njia ya tatu na nzuri kuliko zote ni mke naye kuamua kuanza kunywa ili wawe wanaongozana na mmewe kila bar.
 
huyu mwanamke asilalamike si alikubali mwenyewe aolewe na mlevi akomae tu atabadilika aombe tu wasimniniliu tu..
 
kwani kabla hawajaoana alikuwa hajui kuwa ni mlevi? Au tabia ya ulevi kaanza baada ya ndoa?
 
Mke aanze kuongozana na mmewe bar

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom