Re: Moyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Moyo

Discussion in 'JF Doctor' started by Bayo, Nov 7, 2011.

 1. B

  Bayo Senior Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sijawahi kuwa na matatizo ya moyo kabla, lakin sa hv nina kama wiki kuna muda moyo wangu unakwenda mbio, nakuwa kama napumua kwa kasi hvi yaana kama nataka kufaint kabisa. Inatokana na nini?
   
 2. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Inatokana na wewe kusubiri kiu ndipo unywe maji, si unaona hata bustani tunamwagilia maji asubuhi na siyo mchana jua likiwa kali?. www.maajabuyamaji2.artisteer.net
   
 3. B

  Bayo Senior Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks bro, ntacheki na hii kitu... Ila mbon maji mi nagonga sana aisee almost 1.5 litres per day. Thanks anywaya
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Jaribu kutumia Dawa hizi zangu huenda zikakusaidia hayo matatizo yako na ukapona inshallah pole sana

  Apples: Matunda haya yana wingi wa potassium na phosphurus na kiwango kidogo cha sodium, miaka ya nyuma walikuwa wakitumia tunda hili pamoja na asali kwa ajili ya matatizo ya moyo, kuwa na wingi wa potassium katika mwili husaidia kuepukana na maradhi ya moyo kwahivo mtu mwenye maradhi ya moyo ni vizuri kula matunda haya asubuhi na jioni na uzuri zaidi akila pamoja na asali.

  Grapes(zabibu): Zabibu au juice ya zabibu husaidia sana katika maumivu ya moyo yaani cardiac pain. Maradhi ya moyo yanaweza kuondoka kwa mgonjwa akitumia zabibu kwa muda.

  Orange(machungwa): Juice ya machungwa ukichanganya na asali husaidia kuondoa maumivu ya moyo kama coronary ischaemia.

  Garlic(kitunguu saum):Kitunguu saum kinalinda upatikanaji wa heart attack, husaidia kuondoa mafuta katika mishipa ya moyo pia husaidia artiries kupeleka damu upesi (artiries huwa nzito na hii hupelekea kupatikana kwa high blood perssure na heart attack) Mgonjwa wa moyo akitumia garlic kwa muda maradhi hayo humuondokea atumie kila siku asubuhi chembe 2 na usiku chembe 2.

  Onion(kitunguu maji): Onion kazi yake ni kama ya kitunguu saum .

  Wheat(ngano): Majani ya ngano husaidia moyo kufanya kazi yake pia husaidia na mapafu, pia capillary hufanya kazi uzuri zaidi na kuongeza damu.

  Honey (Asali):Asali ni dawa bora kulikoni zote nilizozitaja hapo juu. Mwenye maradhi ya moyo anywe kila siku glasi ya maji achanganye na asali pamoja na maji ya ndimu na pia anywe kama ataamka usiku na aendelee kufanya hivi kadri awezavyo na Inshallah maradhi hayo yatamuondoka.
   
 5. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  asante mzizi mkavu
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Inawezekana ni anxiety tu,ukiwa na stress kuna wakati hii hali inatokea. Angalia blood pressure kama iko kawaida, jaribu kuangalia inakua mazingira gani ama wakati gani ambapo hali hii inatokea. Pata mapumziko ya kutosha,kunywa maji ya kutosha na kula matunda kwa wingi kama ulivyoshauriwa hapo juu. Ikiendelea muone dr kwa msaada zaidi.
   
 7. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hebu nenda hospital wewe acha kufuata tiba za kienyeji hiyo ni dalili ya heart failure kwa hiyo nenda hospital ili upate matibabu mapema kabla haijawa chronic
   
 8. B

  Bayo Senior Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanx mzizi mkavu... Uko juu sana mzeee.
   
 9. B

  Bayo Senior Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa ushaur wako.. uko ryt pia
   
 10. B

  Bayo Senior Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanx brother, i appreciate
   
 11. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hizi anazotoa mzizi mkavu ni njia ambazo zitumike wakati ukofiti yaani tatizo kabla halijaanza kuanza kutumia sasa wakati tatizo linaanza kuonekana unajua hizi natural products zinaact taratibu kiasi kwamba haziwezi kuinvert ile problem. Sasa watu wengi huwa wanachelewa kwenye dawa za kienyeji weeeeeeeeee akiona amezunguka sehemu nyingi ameshindwa kwenda hospital ni last options kwa watz wengi laymen na nonmedical personels matokeo yake utibuji wake unakuwa mgum na mwisho hawa watu wanaishia kufa. Coz hata hizi dawa za kienyeji sometimes zinoongeza sumu kiasi cha kuicomplicate tatizo coz hakuna specific doses. Kwa hiyo nakushauri uende hospital ili upime pressure, Dr asikilize mapigo ya moyo na kufanya vipimo vingine kujua kama mafuta yameongezelka mwilini n.k. Daima ushauri mwingi unatolewa lakin choice ya mtumiaji ni yake inapompendeza kazi kwako boss. Mimi ni mdau ambaye siamini dawa za kienyeji nimeshatumia sana dawa za kienyeji hazijawahi nisaidia
   
 12. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mzizi mkavu umeeleweka! thenx!
   
 13. B

  Bayo Senior Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanx mkuu..kumuona docta ni muhimu sana. Lakini tiba ya vyakula pia ni nzur kama itatumika awali
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu usiponde Madawa za Kienyeji kuna Maradhi Mengi hayatibiki Ma hospitalini lakini yanatibika kwa Dawa za kienyeji kwa Mfano Ugonjwa wa kifafa hautibiki hospitalini, Dawa za kienyeji zinatibu ugonjwa wa Kifafa,Pumu, Ugonjwa wa Wendawazimu

  ,Ugonjwa wa Sukari,Ugonjwa wa Vidonda vya tumbo, ugonjwa wa Stress, anxiety, na Kansa na yapo maradhi mengi tu hayatibiki Ma Hospitalini
  lakini ukitumia Dawa za miti shamba unapona wewe mpe ushauri usiponde Dawa za Mitishamba Tafadhali sana.Dawa za Mitishamba hazina Madhara yoyote Dawa za Ma hospitalini zina Madhara mengi katika mwili wa binadamu.Upo pamoja na mimi Mkuu?
   
 15. B

  Bayo Senior Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uko deep mzizi
   
Loading...