Re:Montesorri College na Sheria Ngumu

Labda hapa niweke sawa,nahisi sijaeleweka kwa baadhi ya watu,na watu wanachukulia kama Jazba zakidni.
Hapa issue ya udini haipo.
Mie najua kwamba kuna shule za kila dini ambazo zinaweka utaratibu wa mfumo wa kidini kwenye shule zao au vyuo vyao iwe kwa Wasilam,Wakristo nk

Sio kwamba nilikuwa najua ni utaratibu gani upo pale na mtu huwezi kumalazimisha mtu akuelewa kulingana na upeo wake.
Labda kwa taarifu ni kwamba Pale walikuwa Recommmedned na Rafii yao na yeye pia ni Muislam na alisoma pale.
Kwa uifupi kile Chuo hakichangua Muislam wala Mkristo na wala hawana udini zaidi ya hilo nililoomba ufafanuzi licha ya kwamba sikueleweka.


Dada zangu wao wali ni update all fees na taratibu zao after Interview
Mie Nipo Zanzibar na wala sijawahi kwenda na sijui kipo wapi,sasamtu kunishambulia kwamba nilikuwa najua taratibu zao mara oo umeenda plae umakuta masisters,nakuwa namie simuelewi na ndio maana hii topic inaonekana ni ya kidini,ila kwa mtu mwenye kupitia amelezo yangu ni kwamba atakuwa alinielewa nilikuwa na maana gani na nilikuwa nataka kujua nini.

Sasa kwa hali hio,baada ya wao kunitarifu juu ya utaratibu ndio nikaona niulize humu kama hilo lipo,na kwakuwa sikukujua ni Chuo cha mission.Ila kama ningejua ni Chuo kipo chini yauangalizi wa masister basi wala nisingeleta hii post,ningekuwa nimeisha ju.Mie nilijua ni Chuo cha kawaida tu

Nisingependa nielewke vibaya kwa hili na wala sio nia kuharibu jina la hiki chuo,na ja waislamu wngi sana wapo pale wanasoma na hata Dada zangu walikuwa recommended na wenzao ambao ni waislam waliosoma pale ambao wapo kwenye ajira nzuri na wapo vizuri kitaaluma.

Samahanini kwa usumbufu juu ya hili

Pole kaka umeeleweka ila inaonyesha hao dada zako walishalifahamu hilo na kuridhia kuvua shungi zao kama ni rafiki yao aliwa recomend inamaana walijua taratibu za hicho chuo si wangekuambia mapema tu.
 
Back
Top Bottom