Re:Mlango wa Aluminium Unauzwa rahisi

Re:Mlango wa Aluminium Unauzwa rahisi

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
11,059
Reaction score
10,518
Mlango wa Aluminium mpya kabisa na mkubwa
Ni wa Futi 12 kwa 8,
Juu Vioo Vyeupe chini vya Blue,ni wa kisasa kabisa
Na haujawahi kutumika kabisaa,maana Frame ilikuwa mpya na haijaanza kazi.Lengo la Kuuza ni kwamba Frame zinabadilishwa matumizi.
UIinigharimu 1.2m ila nauuza kwa 850,000
Note:Unauzwa Mlango wa Aluminiun tu na gharama za kuuondoa (kuung`oa) ni juu ya mnunuzi
.

Location:Zanzibar
a.JPG2.JPG1.JPGb.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom