RE: MH. Mnyika ana akili za kutosha?

Jamani,mambo ya kusema mwanangu hana tabia mbaya wakati hushindi nae acheni.msimtetee kama vile muna uhakika hajasema.aliyeweka uzi athibitishe tusiendeshwe na hisia just because CDM wanakubalika.sio Miungu!
 
Jaman mh. Mnyika ametaka leo walimu waliogoma wachukuliwe hatua. Ametamka mjengoni alipokua anachangia bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.Hivi kweli ana akili za kutosha?
My take:
naona hana huruma na walimu waliojaa matatizo lukuki.
Naomba awaombe radhi walimu la cvyo wale wasomi wa mlimani jimboni kwake wampige chini. Kwani wapo wanaosomea ualimu.

Kama ni kweli katamka hivyo kweli naanza kuwa na wasiwasi na yeye
 
Ni hivi, Mnyika amesema kama madai ya walimu yalikuwa c ya kweli kama inavyodaiwa na serikali, basi kwa nini serikali hiyohiyo isiwachukulie hatua ili kuthibitisha ubatili huo.
 
Mnyika yupo poa hayo ndiyo majukumu ya mp kuikumbusha hii juha ye2
 
Hivi ninyi mlikuwa mnamtaka mbunge rubber stamp au mlikuwa mnataka mtu makini???
madai ya walimu jinsi yalivyo wasilishwa, timing yake na maneno yaliyokuwa yanatoka the strike failed right from the start.
Ule mgomo wao mkubwa uliopita miaka kadhaa was more justifiable kuliko huu.
nilisha toa muono wangu kuwa mgomo huu ulikuwa unataka kuzima dissent within the chama kwani kuna walimu wengi hasa waliopembezoni wanahisi kama sasa kuna tabaka imejijenga ndani ya uongozi na baadhi ya wanachama hadi kufikia wengine kutaka kuunda chama kingine cha walimu.
Mimi sikubaliani baadhi ya mambo ambayo husemwa na mbunge huyu lakini all in all ni makini sana hasa ukiondoa jazba za ujana. We need a new generation of youth leaders who are multi dimensional thinkers who stress their points logically na siyo emotionally au kufurahisha watu.
 
Back
Top Bottom