Re:Maombi ya kufundishwa kula bata...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
Good mornie, habari za weekend?? Ok, kama inavojieleza hapo juu kichwa cha habari, i've been trying to understand the whole 'kula bata ' concept but still nashindwa kuelewa effective method ya ulaji wa kiumbe huyu. sasa, bibi yangu wa kule kwetu Nyanguge-Magu alinitumia magunia kadhaa ya michembe na manumbu kama zawadi ila mi nimefanya kupush nikafanikiwa kupata vijisenti kadhaa. therefore nahitaji 'KULA BATA 101', na hivi leo weekend basi niandae daftari langu la kutengeneza summary pamoja na vijisenti vyangu, nijue tunaanzia wapi na tunaishia wapi, ilimradi elements zote za ulaji wa duck ziwe inclusive...!!!

cc: Heaven on Earth, kabanga, Mr Rocky, utafiti, kiwatengu, B'REAL miss chagga,
 
Last edited by a moderator:
Hahaha namalizia kazi moja ntarudi kwako mkuu, ni easy sana tunaweza kuwa pamoja
 
wacha bwana hujui kula bata ....? mwanzio niko unguja tangu jana nakula hao bata .....karibu!
 
changanya zanzi na burudani wine utaona utamu wake huko ndo kula bata kwenyewe
 
Ebu nialike tufanye na practical kabisaa! ntakufundisha hadi jinsi ya kumkata na kumpika !!

hahaha sawa mkuu Munkari,practical itakua poa zaidi. tunatumia apparatus gani?
 
Last edited by a moderator:
changanya zanzi na burudani wine utaona utamu wake huko ndo kula bata kwenyewe

Speaking of the devil mkuu

1391255963883.jpg
 
Salaam wakuu,
Good mornie, habari za weekend?? Ok, kama inavojieleza hapo juu kichwa cha habari, i've been trying to understand the whole 'kula bata ' concept but still nashindwa kuelewa effective method ya ulaji wa kiumbe huyu. sasa, bibi yangu wa kule kwetu Nyanguge-Magu alinitumia magunia kadhaa ya michembe na manumbu kama zawadi ila mi nimefanya kupush nikafanikiwa kupata vijisenti kadhaa. therefore nahitaji 'KULA BATA 101', na hivi leo weekend basi niandae daftari langu la kutengeneza summary pamoja na vijisenti vyangu, nijue tunaanzia wapi na tunaishia wapi, ilimradi elements zote za ulaji wa duck ziwe inclusive...!!!

cc: Heaven on Earth, kabanga, Mr Rocky, utafiti, kiwatengu, B'REAL miss chagga,

mi nitakufundisha juu ya kula bata..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom