Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
We m bishi wewe. Muone
I like what I see
We m bishi wewe. Muone
mkuu tuelekezane basi
nimenote vitu viwili vitatu ila yamenikuta mkuuumeshapata wa kukuelekeza sasa
nimenote vitu viwili vitatu ila yamenikuta mkuu
Daah mkuu,si nikapelekwa sijui Capetown Fish Market?? Aisee visenti vyangu vikapukutika ghafla kimasihara nikaona sio kesi ikabidi nikachukue ingredients zangu za kutosha, this is wats going on..
View attachment 136488
wacha bwana hujui kula bata ....? mwanzio niko unguja tangu jana nakula hao bata .....karibu!
hahah, mkuu nafanya kitu wakemia wanaita Volumetric analysisDuh vyote hivyo!hebu acha na urithi kabisa mezani
hee jamani hata mi sijawahi kula bataSalaam wakuu,
Good mornie, habari za weekend?? Ok, kama inavojieleza hapo juu kichwa cha habari, i've been trying to understand the whole 'kula bata ' concept but still nashindwa kuelewa effective method ya ulaji wa kiumbe huyu. sasa, bibi yangu wa kule kwetu Nyanguge-Magu alinitumia magunia kadhaa ya michembe na manumbu kama zawadi ila mi nimefanya kupush nikafanikiwa kupata vijisenti kadhaa. therefore nahitaji 'KULA BATA 101', na hivi leo weekend basi niandae daftari langu la kutengeneza summary pamoja na vijisenti vyangu, nijue tunaanzia wapi na tunaishia wapi, ilimradi elements zote za ulaji wa duck ziwe inclusive...!!!
cc: Heaven on Earth, kabanga, Mr Rocky, utafiti, kiwatengu, B'REAL miss chagga,
dah! kwahiyo tusio na mpunga inakuaje?Karibu 24/7 night mere wala bataz family...mjomba ukiwa na mpunga wako usijali utakula bata mpaka basi....asubui tunaazia kitaa contena pub pale ilala,kunywa light light na mchemsho wa kuku tukisindikiza mdaa saa moja moja tunaamia town sasa las vegas pale tuna gonga light light pale mpaka saa nne nene gari vuuuuu na totoz mpaka beach combaa kula bufee na wine za kudailutia mshoshi...then ngomaa sita sita watu hao mpaka run ways.....hapo tuna kamua hadi nane part lina zamia maisha club mpaka saa kumi na nusu hao magetoni na mtoto mzurii tayari kwa kiburudisho.....upo mkoo hiyo ni rafuuu tu ya bata kwa weekend moja,ila kama mpunga wako wa mawazo better ukanywa virobaa tu
mkuu B'REAL nimekuelewa sana. daah Las Vegas nina mda sijatimba ila nilikua napenda hali ya hewa ya mule,halafu nikiingia ndani navuka ma slot mashine naenda directkule kaunta kula shots za tequilaKaribu 24/7 night mere wala bataz family...mjomba ukiwa na mpunga wako usijali utakula bata mpaka basi....asubui tunaazia kitaa contena pub pale ilala,kunywa light light na mchemsho wa kuku tukisindikiza mdaa saa moja moja tunaamia town sasa las vegas pale tuna gonga light light pale mpaka saa nne nene gari vuuuuu na totoz mpaka beach combaa kula bufee na wine za kudailutia mshoshi...then ngomaa sita sita watu hao mpaka run ways.....hapo tuna kamua hadi nane part lina zamia maisha club mpaka saa kumi na nusu hao magetoni na mtoto mzurii tayari kwa kiburudisho.....upo mkoo hiyo ni rafuuu tu ya bata kwa weekend moja,ila kama mpunga wako wa mawazo better ukanywa virobaa tu
Mkuu inabidi ujipange tudah! kwahiyo tusio na mpunga inakuaje?
hee jamani hata mi sijawahi kula bata
Basi ukikipata iko kibata nistue na mimimkuu inabidi siku moja moja nasisi tushtuke kibata kidogo
haya ngoja nijipangeMkuu inabidi ujipange tu
Basi ukikipata iko kibata nistue na mimi
Hakikisha una marionate vizuri maana bata ana shombo sana.