Re. Makocha/walimu wa michezo wanahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re. Makocha/walimu wa michezo wanahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by scholarships, Jun 20, 2011.

 1. s

  scholarships Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UTANGULIZI
  TAFADHALI REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU,.
  TUNA PROGRAM YA MICHEZO KWA NCHI NZIMA CHINI YA KAMPUNI YA TCARC NA CSR INTERNATIONAL YA USA.
  LENGO NIKUBADILI MICHEZO TOKA KWENYE MICHEZO YA RIDHAA KWENDA KWENYE MFUMA WA MICHEZO YAKULIPWA,.
  KWA SASA TUNAUNDA TIMU MBALIMBALI ZA MICHEZO HASA TUKIANZIA LEVEL ZA CHINI (HATUTAKI MASTAA).
  TUNAJIHUSISHA NA MICHEZO ZAIDI YA 75 KWA WANAUME NA WANAWAKE..UMRI KUANZIA MIAKA 12 HADI MIAKA 19. NA MIAKA 20-21 KWA SPECIAL CASES(BAADHI YA MICHEZO KAMA RIADHA, KURUKA VIHUNZI,MIEREKA,. NK)

  NAFASI ZA KAZI

  TUNAHITAJI WALIMU WAKUJITOLEA KWA AJILI YA KUANZISHA TIMU HIZI KATIKA MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA.
  UKITAKA UPATE AINA YA MICHEZO TUNAYO ANZA NAYO TAFADHARI TEMBELEA www.scholarshipstz.or.tz au unaweza uka request kupitia email
  enquire@scholarshipstz.or.tz au patrickmwisua@yahoo.com au piga simu 0757 74 50 65 kuanzia saa mbili na nusu asubuhi hadi saa tisa na nusu alasiri.
  TIMU ZITAKAZO ANZISHWA ZOTE ZITAPATIWA VIFAA VYA MICHEZO NA USAJIRI KATIKA VYAMA VYA MICHEZO HUSIKA.
  SIFA ZA MWOMBAJI

  AWE MKAZI WA KUDUMU WA MAKAZI ANAYOISHI.
  AJUE KUSOMA NA KUANDIKA LUGHA YA KISWAHILI NA ENGLISH
  AWE ANAUZOEFU USIO PUNGUA MIAKA 10 KATIKA MCHEZO ANAO UOMBEA.
  MAOMBI YOTE YATUMWE KICHWA CHA HABARI KIWE >MAOMBI YA KUANZISHA TIMU YA MICHEZO DSM,MBEYA,MWANZA .N.K(TAJA ENEO UNALO LIOMBEA).  THANKS.
  WE SHALL BE BACK TO YOU FOR MORE OFFERS,.
   
Loading...