Mafuriko mwezi ujao (September ).
Wakuu, I hope wote mko poa kabisa. Nataka kuwashirikishajambo. Kuna hali ya mafuriko makubwa yanayokuja kutokea Tanzania mwezi ujao.Kuna watu ambao Mungu amesema nasi ili tuombe toba kwa ajili ya nchi ili halihii isitokee na hasa kama itatokea basi isilete madhara ambayo yanaweza kutokeakama hatutaomba Mungu atunusuru na maafa.
Nchi yetu 'imemezwa na chatu'. Hii maana yake ni kwamba nchi hii imetumbukiakatika uchawi na kumwabudu shetani as nyoka ni shetani as well asuchawi/ushirikina. Watu waliopewa dhamana kwenye taifa hili iwe serikalini aukatika kanisa wamesahau wajibu wao na badala yake wanamkumbatia shetani na kazizake zote i.e uuaji na umwagaji wa damu zisizo na hatia, uchawi, wizi, uongo napia ukahaba umekithiri, uaminifu umepungua sana, ufisadi, upagani, ibada zamizimu, kuabudu shetani na mambo mengine yote yafananayo na hayo na kumchukizaMungu na amekasirika. Mambo yote haya tunayaona day in day out. Na watuwanafurahia watu waovu na uovu kuliko uadilifu na watu wanaotetea haki.
Mungu anaipenda sana Tanzania lakini anachukia uovu huu ndio maana ameonyeshanini kinakuja ili tuombe toba atusamehe na atunusuru na hali hiyo na kama badoitatokea basi isilete madhara makubwa au yasitokee kabisa.
Picha ya mafuriko yanayokuja yanaonyesha mvua kubwa sana ya kutisha na nusu yaDar ikiwa imemezwa na maji ambayo yamechanganyika na maji ya bahari. Hiiinaashiria gharika au kimbunga chenye mvua kubwa.
Kwa yeyote mwenye mzigo wa kuliombea Taifa hili tafadhali omba toba kwa ajiliya nchi yetu na ufunge kwa siku tatu kawaida na sio tatu kavu (utachaguamwenyewe siku za kufunga) ili Mungu atuepushie na balaa hili. Tafadhalimshirikishe na mwenzio.
Nimewashirikisha ili isije kula kwetu tuliopewa huu ujumbe kama tutakaa kimyabila kushirikisha wengine pia waombe.
Usichangie kwa kukashifu na kama huna mchango au huamini basi wewe pita tu naMungu atakubariki.
Mathayo 18:18, 2 Nyakati 7:14, Isaya 62:6, 45:11