Re: Lema atangaza kampeni mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Lema atangaza kampeni mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Prince MakBenny, Apr 10, 2011.

 1. P

  Prince MakBenny Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema ametangaza kampeni mpya ya kuleta mabadiliko katika jamii.
  Kampeni hiyo aliyoipa jina la 'CHANGE ON FINGERS' inalenga kuwafanya vijana kushiriki kuleta mabadiliko katika jamii kupitia vyombo vya mawasiliano kama vile simu na kompyuta,ambapo zaidi ya mawasiliano ya kawaida watatakiwa kutumiana ujumbe wenye kuleta mabadiliko kwa manufaa ya jamii ya kitanzania.
  Lema aliyatamka hayo jana wakati akizindua tawi la CHADEMA chuo kikuu cha Dodoma skuli ya Elimu.
  Aliwataka wengi wajiunge na mitandao ya mawasiliano kama vile facebook na Jamii forums kwani kupitia huko wataelimishana kwa kasi zaidi na kuleta mabadiliko katika jamii.
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Safi sna Lema
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  CCM haina damu changa, hakika wanachungulia kaburi
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Endelea na mwendo huo huo kamanda Godbless Lema..
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Asante sana kamanda wa machalii Arusha! Change is coming soon!
   
 6. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Duh! Hiki kweli kizazi cha digital, taifa likiongozwa na viongozi machalii cjui litaongozwa kuelekea wapi?. Lakini natamani kuona hiyo hali.
   
 7. C

  Chamkoroma Senior Member

  #7
  Apr 10, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiangalia km bahrain na nchi zingine zaa kiarabu zinazo taka mabadiliko, kilichowasaidia wote kuwa kitu kimoja ni mtandao kama huu anaousema GL(Good Liberty), kwakutumia mitandao tutaweza kuwa kitukimoja kwa faida ya wote, nakuweza kulikomboa taifa letu, toka katika makucha ya mafisadi.
   
Loading...