RE:Kumbe ATCL walikuwa na ndege 11

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nimetoka msikiliza kijana wangu Silinde bungeni apa ati kumbe tulikuwa na ndege zote izo.
Naona kuna haja ya kufuatilia mpaka scrapers za izo ndege tujue ziliishaje?
 
Ni kweli ATC ilikuwa na ndege 11 na wafanyakazi 200!
Ndege zote zimekufa imebaki moja ipo south africa inatengenezwa, lakini cha kushangaza ATC bado ina wafanyakazi 200
 
Ni kweli ATC ilikuwa na ndege 11 na wafanyakazi 200!
Ndege zote zimekufa imebaki moja ipo south africa inatengenezwa, lakini cha kushangaza ATC bado ina wafanyakazi 200
Teh teh teh, hizi habari badala kunipa uchungu saa nyingine huwa zinanichekesha kwa kweli. Sasa hao wafanyakazi 200 wanafanya nini?? Hii nchi kwa komedi tu si mchezo
 
Back
Top Bottom