Re: KOSA NI LAKO

Re: KOSA NI LAKO

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
[TABLE="width: 515"]
[TR]
[TD="width: 458"]Nimeamua kuhamia na huku ili nigonge kote kote MMU na CC......... meseji yangu kwenu ni hyo hapo chini

"ALL GIRLS/LADIES AREN'T HOES AND ALL GUYS AREN'T PLAYERS, SO STOP SAYING THAT ALL GUYS/ALL GIRLS ARE THE SAME JUST CAUSE YOU PICKED THE WRONG....... KAA CHINI UPAMBANUE ULIPOKOSEA THEN UCHANGANYE VISIGINO"

Siku njema kwenu...........

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
nafurahi kusikia u mzima wa afya... mnatunyima nini huko? ujumbe wako nimeupenda

Ni furaha kwangu kama umeupenda, huku tunawanyima kila kitu, ni vingi sana nikivitaja hapa duhhh hii forum ya chit chat itajaa kabisa....
 
duh! haya bana , itabidi unikaribishe nije na mie nipate hivyo mnavyo ninyima

Ukija itabidi uamue kabisa kwamba ni upande upi unataka ukaribishwe kwani viko vingi tunavyokunyima, usije vimbiwa bure manoah wa watu
 
Mrembo by Nature , kile kilicho bora kabisa na kidogo naona ndio kitanifaa bana, tunatakiwa tuwe watu wa kuridhika ....

Ukija itabidi uamue kabisa kwamba ni upande upi unataka ukaribishwe kwani viko vingi tunavyokunyima, usije vimbiwa bure manoah wa watu
 
[TABLE="width: 515"]
[TR]
[TD="width: 458"]Nimeamua kuhamia na huku ili nigonge kote kote MMU na CC......... meseji yangu kwenu ni hyo hapo chini

"ALL GIRLS/LADIES AREN'T HOES AND ALL GUYS AREN'T PLAYERS, SO STOP SAYING THAT ALL GUYS/ALL GIRLS ARE THE SAME JUST CAUSE YOU PICKED THE WRONG....... KAA CHINI UPAMBANUE ULIPOKOSEA THEN UCHANGANYE VISIGINO"

Siku njema kwenu...........

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nahisi uliyekutananaye safari hii, huko alikotoka alitendwa hivyo huo mtendo kadhani nawe unao.... Lol
 
Back
Top Bottom