Wambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 558
- 336
Jamaa m1 alikuwa ametulia zake coco beach, akapita mzungu akamuuliza "R U RELAX" jamaa akatikisa kichwa akajibu "NO" baadae akapita tena mzungu mwingine akamuuliza jamaa "R U RELAX" jamaa akajibu "NO, I AM ALEX" Jamaa akaamua kusogea ahamie mbele, akamkuta mzungu mmoja amekaa zake, akamuuliza "R U RELAX?" Mzungu akajibu "YEAH" jamaa akampiga bonge la kibao yule mzungu, akamwambia kumbe we ndo RELAX mi nimesumbuliwa sana we umetulia tu huku.. Nenda huko wenzako wanakutafuta..