Re: CIGAR imekuwa sumu kwa mahusiano

Re: CIGAR imekuwa sumu kwa mahusiano

napita............loading...........network error.......troubleshoot ........
 
Ushauri wa nini wakati wewe unaishi unavyotaka wewe na sio Jamii au familia au mchumba wako wanavyotaka.

Come on Getruda, your guy hakupendi ndio maana anataka u choose kati ya your sweet cigar au yeye. Make him loose you coz He is not worthy you.
 
Last edited by a moderator:
kashangae ferry lol
wabebs wa ukweli wanavuta cigar lol
cc Nyani Ngabu lol

BILLO.jpg
 
ONYO: UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO.:A S clock:


That should be enough to have you determined to stop smoking.
 
Vp kuhusu sonyo ile ya kusokota mwenyewe na karatasi nayo unatumia ?
 
Mrudie Mungu
Salamu kwenu MMU,
Ni binti mtanzania, ninavuta sigara tangia nilipomaliza tu high school hadi leo nimemaliza chuo nimeajiriwa mahali. Kazi yangu inaniweka busy sana kiasi napatikana mjini kwa nadra.

Ni mekuwa na stlye yangu tofauti ya maisha kwamba naishi nitakavyo no matter what my family, friends na community watasema au wanafanya. Familia yangu ni yenye dini sana na yenye maadili (kama walivyojiwekea na ilivyozoeleka na kukubalika miongoni mwa watanzania. Ninasema hivi kwa sababu maadili ni located and subjective. Unayoyaita maadili Tanzania sehemu nyingine si maadili ni kitu kingine. Hivyo inategemeana na wewe binafsi umeamua uishi vipi). NINAOMBA TUSIJADILI HILI KWENYE POST HII KWANI NI KAMA BACKGROUND INFO TU. Kwa msingi huu wananiona kama deviant kwa kuamua kuwa mvutaji bila kificho, kuishi party life (lakini nasave kwa ajili ya badae sio kwamba nimejisahau) ila mimi nimejikubali na nimeamua kuishi maisha yangu niliyojiamulia na kujiwekea.

Swala la sigara limekuwa ni tatizo kwa familia yangu, ndugu na hata mahusiano. Mimi kuacha imekuwa ngumu. Mwanaume wangu alinikuta navuta cigar na alidai alinipenda kwa sababu ya utofauti wangu na kusimamia kile nikiaminicho lakini hata sijui imeanzia wapi anadai hawezi kuoa mwanamke mvutaji (lakini sivuti bangi, ni SM na zinginezo tu. Hata sigara kali sivuti). Sasa ninajiuliza huyu hakuniona mwanzoni kwamba navuta? je niendeleze msimamo wangu au niache kwa ajili yake? kama ni kuacha nawezaje kuacha kwani nimeizoea sigara na kuipenda kama vile chakula maishani mwangu? Kwa siku siwezi hata kuhesabu navuta pakti ngapi tena ukizingatia nina kampani ya mvutaji mwenzangu ambae ni boss wangu kikazi 30/7. Hili limekuwa ni swala gumu sana maishani mwangu na ninaona kama nitampoteza huyu mshikaji (boyfriend).

Ninaomba mnishauri kwasababu niko njia panda. Kwa wenye matusi au kuhukumu hapa sio mahala penu kwani familia ilishanihukumu tayari amebaki Mungu wangu tu kunihukumu.

Asanteni na karibuni mnipe ushauri akili imestak.
 
kashangae ferry lol
wabebs wa ukweli wanavuta cigar lol
cc Nyani Ngabu lol

Boss huyu dada inaelekea anapenda tumbaku tuu. Kama hajui anapenda Cigar gani na akiwa mtaani anavuta SM; akikosa hata GOSO anapeleka tuu.
 
Last edited by a moderator:
Endelea tu kula fegi mwana ila punguza kidogo usela maana kwenye maandiko yako tu unaonekana hata huyo jamaa unamkazia sana.
 
kweli kaka maamuzi ni yake
Kama unathamini kuvuta kuliko hao wanaotaka uache, endelea kuvuta.

La,

Kama unawathamini hao wasiopenda uvute kuliko unavyothamini kuvuta, acha kuvuta.

Simple like that.
 
Sticks in the humidor -Nas

This reminds me of Heather, once she started talking about cigar bars (encouraged by my collection) I knew it was time to jet.
 
boyfriend kitu gani wewe buta tuuuu cancer zikianza kukuandama huku huna mume wala mtoto utaacha kwa hiari yako
 
Back
Top Bottom