laussane
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 255
- 132
Usimpangie vya gharama wakati wewe mwenyewe huwezi kuvimudu, bora ungemtajia ata silver 60,000 tu ingetosha, au shanga za masaai 3,500 kwishney. Unataka kunywa soda wakati una uwezo wa kunywa togwa?
Nimpe Bwana sifa na utukufu kwa kunipatia huyu mchumba, ananipenda na mimi nampenda panapo majaaliwa mwishoni mwa mwaka huu tutafunga ndoa.
Tatizo ni kwa x-girl friend wangu alikuwa na chachandu ya gold kiunoni. huyu hana. nilipomwomba atafute chachandu kanipa jibu linalonikosesha raha kabisa eti kwanini nisimletee na kwa nini namwambia ajinunulie. kosa langu nini hapa? mbona mwenzie alikuwa nayo?