RE:Chachandu ya gold

RE:Chachandu ya gold

Ndoa ni zaidi ya chachandu, go and grow abit more
 
Nimpe Bwana sifa na utukufu kwa kunipatia huyu mchumba, ananipenda na mimi nampenda panapo majaaliwa mwishoni mwa mwaka huu tutafunga ndoa. Tatizo ni kwa x-girl friend wangu alikuwa na chachandu ya gold kiunoni. huyu hana. nilipomwomba atafute chachandu kanipa jibu linalonikosesha raha kabisa eti kwanini nisimletee na kwa nini namwambia ajinunulie. kosa langu nini hapa? mbona mwenzie alikuwa nayo?
Sasa wewe unataka kula chakula kilichoungwa vizuri wakati hujanunua viungo?
 
Nimpe Bwana sifa na utukufu kwa kunipatia huyu mchumba, ananipenda na mimi nampenda panapo majaaliwa mwishoni mwa mwaka huu tutafunga ndoa. Tatizo ni kwa x-girl friend wangu alikuwa na chachandu ya gold kiunoni. huyu hana. nilipomwomba atafute chachandu kanipa jibu linalonikosesha raha kabisa eti kwanini nisimletee na kwa nini namwambia ajinunulie. kosa langu nini hapa? mbona mwenzie alikuwa nayo?
Mwache akutane na Wapemba wamnunulie halafu nisikie unalalamika.
 
Hata ile ya Elfu 45000/= imekushinda? Wewe kweli mzigo
 
mbaya zaidi hutaki avae za kwenye vikapu(wauza urembo)unataka ya dhahabu kisha anunue mwenyewe,aah kuchapiwa ni siri ya NJE.
 
sijawah bahatika pata mwanamke mjuz wa kuvaa hyo kitu jaman,dah,au kwasabab nacheza na mikoa kadhaa ya bara?na dem wangu nikimwambia avae atauliza umejulia wap?si balaa hil jaman
 
c umnununlie mwenzio na wewe?
hivi ni chachandu ya gold au cheni??

dah,jameni sjawai bahatika pata mwanamke mjuz wa kuvaa hzo mambo jamen,nioneen huruma,..au kwasabab nacheza na bara tuu?yan na imagine dah?
 
Yaani umekosea sana kumwambia atafute. Wewe ndio mwenye shida na chachandu. Mpe hela akanunue au muende wote dukani.

najitolea kununua hyo cheni ya gold,..kwan kitu gan bhana
 
ndoa nyingi zinavunjika kwa nonsense kama hizi...

chachandu? WTF!!!
 
sio muhim sana ila,mmh,hata mim sjawai pata dem kavaa hyo kitu,ila nahis itakua inatusisimua sana wanaume,kama bikin tuu nkiona napiz,je hyo gold?
 
mkuu unajua kitu kama hiki ikikukosesha mke ni aibu... imagine mnagombana sababu ya vushanga tu !!!
 
Nimpe Bwana sifa na utukufu kwa kunipatia huyu mchumba, ananipenda na mimi nampenda panapo majaaliwa mwishoni mwa mwaka huu tutafunga ndoa. Tatizo ni kwa x-girl friend wangu alikuwa na chachandu ya gold kiunoni. huyu hana. nilipomwomba atafute chachandu kanipa jibu linalonikosesha raha kabisa eti kwanini nisimletee na kwa nini namwambia ajinunulie. kosa langu nini hapa? mbona mwenzie alikuwa nayo?

Hilo ndio kosa kubwa. Usimlinganishe na mwingine. Kama yeye atakulinganisha na ex wake pia itakuwanga majanga. Jenga uhusiano naye kama alivyo na siyo kwa kigezo cha mwingine
 
sio muhim sana ila,mmh,hata mim sjawai pata dem kavaa hyo kitu,ila nahis itakua inatusisimua sana wanaume,kama bikin tuu nkiona napiz,je hyo gold?
Noma ya chachandu ikikatika zile shanga zinamwagika vibaya... chain ya gold wengine tunapenda looks sexy depending na shepu ya mwanamke na wengine wapenda hina huwa wanachora hina maeneo fulani... kwa wanaopenda hii mambo wakiona hivi hubakia kulalalamika "weka mbali na watoto!"
 
Ila wewe....umeniudhi! Huoni kosa lako kijana?!Kubeba makunyanzi ya mahusiano yaliyopita na kuyaleta kwenye uhusiano wako mpya unaodai 'unampenda' huku ukimfananisha na ex wako ni tabia chafu, tena mbaya sana!
Ndio maana Chujio nakupenda!
 
aisee
umeniudhi hadi nimekosa la maana la kuchangia
 
Nimpe Bwana sifa na utukufu kwa kunipatia huyu mchumba, ananipenda na mimi nampenda panapo majaaliwa mwishoni mwa mwaka huu tutafunga ndoa. Tatizo ni kwa x-girl friend wangu alikuwa na chachandu ya gold kiunoni. huyu hana. nilipomwomba atafute chachandu kanipa jibu linalonikosesha raha kabisa eti kwanini nisimletee na kwa nini namwambia ajinunulie. kosa langu nini hapa? mbona mwenzie alikuwa nayo?

Kamnunulie kama ndio fleva yako acha ubahili, kipenda roho.........
 
ndoa nyingi zinavunjika kwa nonsense kama hizi...

chachandu? WTF!!!

Kwa mujibu wa maelezo yake, ipo siku lazima akumbuke chachandu ya X wake, na hapo tuna sema nyoka wa kufugwa lazima akumbuke msitu.
 
ina maana kama XX wake alikuwa anamla tigo basi hatat huyu nae atataka ale tigo yake?

vitu vingine kuviwaza ama kuvitaka ni kupoteza muda tu!
 
Haaahaaa...si mbaya kuanza siku kwa kucheka. Wewe kama unataka chachandu ya Gold si uende kununua maduka yapo? Ulishawahi kuona vitu vinaelea bila watu kuviunda? Yahusu, utukufu wa bwana unatolewaje vile?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom