Maji yana ladha ya chimvi hayo wanakunywa watu wa tandale tu
Maji yana ladha ya chimvi hayo wanakunywa watu wa tandale tu
yale viroba vipi wameyarudisha mana yalinipiga tafu sana nikiwa shule.
Wanabodi,
Hii re branding waliofanya kampuni ya maji ya kunywa ya chupa ya UHAI nimeikubali, kuanzia packaging design hadi labbelling, kwa sasa angalau hii brand inaweza kuvuka mipaka.
Maji yana ladha ya chimvi hayo wanakunywa watu wa tandale tu
Yale yalipigwa marufuku nadhan sababu ya uchafuzi wa mazingira.... Dew drop nayo yanakuja juu
Khaa!! maji ya hovyo sana hayo, hayafai hata kuoga kwa chumvi iliyomo. Katika maji ya chupa ndogo ya tz bora uongelee dasani, ndanda, africa na cool blue.Wanabodi,
Hii re branding waliofanya kampuni ya maji ya kunywa ya chupa ya UHAI nimeikubali, kuanzia packaging design hadi labbelling, kwa sasa angalau hii brand inaweza kuvuka mipaka.
haya nayo yana ladha safi piaYale yalipigwa marufuku nadhan sababu ya uchafuzi wa mazingira.... Dew drop nayo yanakuja juu
Wewe lazima utakua unakunywa viroba kama mbadala ya maji!;
Uhai ni maji bora kabisa hapa Tanganyika.
Deo carleone si lazima yafike Namtumbo, kwenye marketing strategies si lazima uhudumie the whole population, kuna vitu kama market segmentation, niche marketing ni bora ukahudumia pale unapofanya vizuri, mfano maji ya kilimanjaro pamoja na ubora wake wote lakini mikoa ya kusini ni aghalabu kuyakuta
maji bora p.h 7.9 ...?
wengi tunatumia bidhaa bila kufuatilia vitu vya mmsingi, bora ninywe yale ya zamani ila sihaya mnayosema mapya,
maji ni more alkaline hayakati kiu, utakunywa na kunywa bila kukata kiu,
Hayo maji yapo sana sumbawanga na katavi!!
Hivi yanasambaa sana?
Sijayaona huku Namtumbo