RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

Ni vizuri walio fikia umri wa kustaafu waanze mapema kuliko kusubiri wapo vijana wenye fani hizo nao wapate ajira mapema.hapo sasa kuna nafasi 3 za ajira anaejiona amejaladia umri jitoe mapema usikutwe huko

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Nibora walivyoamua kujitoa mapema kuliko kutimuliwa ama kutumbuliwa Imewajengea heshima kubwa mno.
 
Ngoja tuongeze umri ili tustaafu mapema,nikalime nyanya na kufuga ng'ombe.
 
Hao majaji kujiondoa kama ni kweli ni sawa tu wana makashfa. Khs mzee Mecky ni kutokana na kutoridhishwa na mambo ya kutoka juu hasa kuminya na kukandamiza wapinzani mkoani kwake.
 
Asie taka kwenda Speed na Kiongozi wetu bora akae pembeni. Safari hii Tanzania tumepata Kiongozi. Wale waliopita walikuwa ni Ma-Rais Kiongozi wetu ni Hapa Kazi Tu Hongera Kiongozi wa Wanyonge Mheshimiwa Rais Magufuli bravo.
 
Back
Top Bottom