RC Tabora na Mkiti wa CCM Mkoa Tabora Hapatoshi!

M-bongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
338
Reaction score
71
Katika kile kinachoonekana kutunishiana misuli kati ya Mkiti wa CCM Mkoa na RC Tabora wiki iliyopita RC alifanya mkutano mkutano mkubwa ambapo aliwaita wenyeviti wote wa CCM wa wilaya zote za Mkoa wa Tabora na kuwapa msimamo wake juu ya kutetea wakulima wa Tumbaku ambapo walimuunga mkono huku wakulima wa tumbaku waliokuwemo ukumbini wakishangilia na mgeni rasmi akiwa ni waziri wa kilimo.

Hayo yalifanyika huku mkiti wa CCM mkoa akiwa matibabuni India na baada ya kurejea ameuagiza uongozi wa CCM mkoa wa Tabora kuandaa maaandamano makubwa ya kumpokea (Wakasuvi) ili kumuonyesha RC a Tabora kuwa Mkiti wa CCM anakubalika na anaungwa mkono na watu wengi. hadi muda muda huu viongozi wote wameagizwa kuhakikisha kesho Jumamosi wana fika uwanja wa ndege wa Tabora alfajiri kumpokea Mkiti wa CCM anayetoka kwenye matibabu India ilhali madiwani wote wa mkoa wa Tabora wakiambiwa kuwa lazima wafike Tabora kesho tena kwa gharama zao ikiwezekana waende na mashada ya maua kumpokea mtu anayetoka kwenye matibabu hayo yote ni kumuonyesha RC kuwa yeye si chochote na si lolote! tukielekea kwenye uchaguzi wa mitaa na baadae kidogo uchaguzi mkuu.

Yote hayo yanafanyika ili kuficha ukweli juu ya ubadhirifu mkubwa na madeni makubwa dhidi ya wakulima wa tumbaku ambao RC anawatetea kwa nguvu zote huku Mkiti wa CCM akiwatetea wabadhiru hao wa tumbaku na yeye akiwemo
 
Mwasa kwny tumbaku tupo pamoja.ombi lako kwa Utoh aje kufanya Special Audit naliunga mkono.waombe mungu nisiwe mmoja wa audit team member
 
Mie nataka ikiwezekana wachinjane kabisa
 
Ngoja nifike Tabora nianze kuchochea kuni. Hapa wanaoneshana umwamba wa uchawi na kuana na mkwele.
 
M-bongo hebu usianisha "ugomvi" huo na ilani ya CCM 2010/15 kuhusu zao la tumbaku hapo Tabora. Ninachofahamu hao wawili hukutana kwenye kamati ya siasa ya chama kujadili utekelezaji wa ilani hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Katika kile kinachoonekana kutunishiana misuli kati ya Mkiti wa ccm Mkoa na Rc Tabora wiki iliyopita Rc alifanya mkutano mkutano mkubwa ambapo aliwaita wenyeviti wote wa CCM wa wilaya zote za Mkoa wa Tabora na kuwapa msimamo wake juu ya kutetea wakulima wa Tumbaku ambapo walimuunga mkono huku wakulima wa tumbaku waliokuwemo ukumbini wakishangilia na mgeni rasmi akiwa ni waziri wa kilimo.
Hayo yalifanyika huku mkiti wa ccm mkoa akiwa matibabuni India na baada ya kurejea ameuagiza uongozi wa ccm mkoa wa Tabora kuandaa maaandamano makubwa ya kumpokea (Wakasuvi) ili kumuonyesha Rc a Tabora kuwa Mkiti wa ccm anakubalika na anaungwa mkono na watu wengi. hadi muda muda huu viongozi wote wameagizwa kuhakikisha kesho Jmos wana fika uwanja wa ndege wa Tabora alfajiri kumpokea Mkiti wa ccm anayetoka kwenye matibabu India ilhali madiwani wote wa mkoa wa Tabora wakiambiwa kuwa lazima wafike Tabora kesho tena kwa gharama zao ikiwezekana waende na mashada ya maua kumpokea mtu anayetoka kwenye matibabu hayo yote ni kumuonyesha Rc kuwa yeye si chochote na si lolote! tukielekea kwenye uchaguzi wa mitaa na baadae kidogo uchaguzi mkuu. yote hayo yanafanyika ili kuficha ukweli juu ya ubadhirifu mkubwa na madeni makubwa dhidi ya wakulima wa tumbaku ambao Rc anawatetea kwa nguvu zote huku Mkiti wa ccm akiwatetea wabadhiru hao wa tumbaku na yeye akiwemo

Ndugu Tambua hizi stori zingine ni nafuu mngetafuta jukwaa la kupeleka unapolileta huku kwa watu wenye upeo mkubwa wa kuchanganua mambo unakosea, ningependa nikwambie hiki ulichokiandika ni uongo ingawa mimi sio mkazi wa Tabora na ninasema uongo kwa mantiki ifuatayo.

1. Unasema RC aliwaita wenyeviti wote wa CCM katika wilayao zote na agenda ilikuwa Tumbaku ebu nikuulize wilaya zote za Mkoa wa Tabora zinalima Tumbaku? kama sio hao wenyeviti wengine walienda kufanya nini?

2. Unaposema Mwenyekiti ameagiza Madiwani wote wa Mkoa wa Tabora ukimaanisha na Wilaya zake waende kumpokea tena wakiambatana na Mashada ya maua ndugu tambua kutueleza hiki ni ujinga sidhani kama kuna Diwani mpu-mbavu anayeweza kutoka Igunga, Nzega eti kwenda kumpokea na kama ni kweli kayasema hayo huyo mwenyekiti wa Mkoa basi ni vema ikafahamika BADO MGONJWA na anahitaji matibabu zaidi ikiwezekana apelekwe hospitari ya vichaa MILEMBE.
 
Hivi tumbaku ina faida gani zinazozidi hasara?
NB: Nimesema tumbaku, sio kilimo cha tumbaku
 
Na wakifanya Auditing lile zee roho itaacha mwili kwa BP. Najua na Riz1 atahusika kwenye saga kwani kampuni ya usafirishaji Tumbaku na pembejeo zake ambalo lilipita kwenye tender bila utaratibu kufuatwa.
 
Ndugu Tambua hizi stori zingine ni nafuu mngetafuta jukwaa la kupeleka unapolileta hiuku kwa watu wenye upeo mkubwa wa kuchanganua mambo unakosea, ningependa nikwambie hiki ulichokiandika ni uongo ingawa mimi sio mkazi wa Tabora na ninasema uongo kwa mantiki ifuatayo.

1. Unasema RC aliwaita wenyeviti wote wa CCM katika wilayao zote na agenda ilikuwa Tumbaku ebu nikuulize wilaya zote za Mkoa wa Tabora zinalima Tumbaku? kama sio hao wenyeviti wengine walienda kufanya nini?

2. Unaposema Mwenyekiti ameagiza Madiwani wote wa Mkoa wa Tabora ukimaanisha na Wilaya zake waende kumpokea tena wakiambatana na Mashada ya maua ndugu tambua kutueleza hiki ni ujinga sidhani kama kuna Diwani mpu-mbavu anayeweza kutoka Igunga, Nzega eti kwenda kumpokea na kama ni kweli kayasema hayo huyo mwenyekiti wa Mkoa basi ni vema ikafahamika BADO MGONJWA na anahitaji matibabu zaidi ikiwezekana apelekwe hospitari ya vichaa MILEMBE.

Mkuu kitu gani imekukuaza hapo.au nawewe unalipwa Lumumba b 7
 
Ndugu mimi kamwe siwezi kuwa upande wa CCM lakini ni vema basi hata kama kinachosemwa kinamuhusu adui yako basi kiwe cha kweli ndio ushabikie lakini kinapokuwa kinawalakini ni vema kujiweka pembeni nacho ili kujiepusha na wewe kuingizwa kwenye kundi la wajinga
 
hii ni minyukano ya urais kat ya kna vdagaa sta membe na bosi wao na rais mtarajiwa lowasa..huyu mwasa alkua anafanya kaz kwenye ile Ngo ya wama ya mama salma na kilaza kgwagwala hao wote ni makuwadi wa membe na sta amna anayempgania mkulima wa tumbaku wanatafta madaraka na matumbo yao ata icho kikao rc ameitsha ili kumaaidia sta na membe kumuombea wafuas wamuunge mkono ila lowasa alishawapga bao sku nyingi
 
Naomba kujua sifa zinazozingatiwa ili kuwa kiongozi wa ccm ( tuachane na ile ya kuwa na kadi ya chama tu )
 
hii ni minyukano ya urais kat ya kna vdagaa sta membe na bosi wao na rais mtarajiwa lowasa..huyu mwasa alkua anafanya kaz kwenye ile Ngo ya wama ya mama salma na kilaza kgwagwala hao wote ni makuwadi wa membe na sta amna anayempgania mkulima wa tumbaku wanatafta madaraka na matumbo yao ata icho kikao rc ameitsha ili kumaaidia sta na membe kumuombea wafuas wamuunge mkono ila lowasa alishawapga bao sku nyingi

MISHIKAKI ni HATARI SANA ! DHULUMA ZA TUMBAKU UNAZIHUSISHA NA URAIS ?
 
Na wakifanya Auditing lile zee roho itaacha mwili kwa BP. Najua na Riz1 atahusika kwenye saga kwani kampuni ya usafirishaji Tumbaku na pembejeo zake ambalo lilipita kwenye tender bila utaratibu kufuatwa.

kamanda u seem to know something, endelea kuchochea kuni
 
Katika kile kinachoonekana kutunishiana misuli kati ya Mkiti wa CCM Mkoa na RC Tabora wiki iliyopita RC alifanya mkutano mkutano mkubwa ambapo aliwaita wenyeviti wote wa CCM wa wilaya zote za Mkoa wa Tabora na kuwapa msimamo wake juu ya kutetea wakulima wa Tumbaku ambapo walimuunga mkono huku wakulima wa tumbaku waliokuwemo ukumbini wakishangilia na mgeni rasmi akiwa ni waziri wa kilimo.

Hayo yalifanyika huku mkiti wa CCM mkoa akiwa matibabuni India na baada ya kurejea ameuagiza uongozi wa CCM mkoa wa Tabora kuandaa maaandamano makubwa ya kumpokea (Wakasuvi) ili kumuonyesha RC a Tabora kuwa Mkiti wa CCM anakubalika na anaungwa mkono na watu wengi. hadi muda muda huu viongozi wote wameagizwa kuhakikisha kesho Jumamosi wana fika uwanja wa ndege wa Tabora alfajiri kumpokea Mkiti wa CCM anayetoka kwenye matibabu India ilhali madiwani wote wa mkoa wa Tabora wakiambiwa kuwa lazima wafike Tabora kesho tena kwa gharama zao ikiwezekana waende na mashada ya maua kumpokea mtu anayetoka kwenye matibabu hayo yote ni kumuonyesha RC kuwa yeye si chochote na si lolote! tukielekea kwenye uchaguzi wa mitaa na baadae kidogo uchaguzi mkuu.

Yote hayo yanafanyika ili kuficha ukweli juu ya ubadhirifu mkubwa na madeni makubwa dhidi ya wakulima wa tumbaku ambao RC anawatetea kwa nguvu zote huku Mkiti wa CCM akiwatetea wabadhiru hao wa tumbaku na yeye akiwemo
Kwa sisi tusioishi Tabora na tusiofahamu bifu iliyopo kati ya Mwenyekiti wa CCM na RC taarifa yako haieleweki. Unaweza kuiboresha ili tuelewe tatizo ni lipi Kati ya wawili hawa.
 
Ndugu mimi kamwe siwezi kuwa upande wa CCM lakini ni vema basi hata kama kinachosemwa kinamuhusu adui yako basi kiwe cha kweli ndio ushabikie lakini kinapokuwa kinawalakini ni vema kujiweka pembeni nacho ili kujiepusha na wewe kuingizwa kwenye kundi la wajinga
mkuu kwani wewe uko tabora au?
 
Back
Top Bottom