RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

Taifa kwa sasa linaongozwa na vihiyo watupu! Anzia magogoni hadi kwa kina Daudi Albert Bashite! Tumeruhusu AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA! Shame on you CCM government.
 
Badala ya kuomba radhi anazidi kumkejeli.
 
Badala ya kuomba radhi anazidi kumkejeli.
Hata mie sikuona sababu ya kuendelea kumkejeli tena wakati jambo lilishapita na mbaya zaidi alikua akiongea kwa jazba utafkiri jambo limetikea juzi
 
Hata mie sikuona sababu ya kuendelea kumkejeli tena wakati jambo lilishapita na mbaya zaidi alikua akiongea kwa jazba utafkiri jambo limetikea juzi
RC huyo inaonekana kweli linamtafuna. But, angetumia hekima kukaa kimya!
 
Wakuu wa wilaya wanafanya kazi ya kumfurahisha mkuu wao wa kaya na siyo kulisaidia taifa kutoka mahali lilipo, na kama tutakwenda kwa mwendo huu hatutaweza kufika pale tunapotaka kwenda
 
Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
Hawakufanyiwa vetting ya kutosha hawa ma DC ndo maana madudu kila siku
 
Huyo DMO ni mwanaume?

Aliyeingia mgogoro na huyo mama ni dk. Eric Bakuza! Nilisoma naye darasa moja Iliboru mchepuo wa PCB miaka hiyo. Ilboru ni single sex school (Boys). Hadi hapo nadhani ushatambua jinsia ya huyo Daktari.
 
Ondoa shaka kaz kama utabibu huwa zina viapo vya kutombagua mteja yoyote kwa tofauti zozote zile
 
Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
Rehema Nchimbi ni Dr. (PhD)
 
Hivi hawa wanaowekwa ndani kila siku ni watu wanamna gani? Mtu umekuwa daktari labda kwa miaka 10, kina kuja kizee eti mkuu wa mkoa anakuweka ndani kirahisi tu, na ukitoka unanywea kimyaaaaaaaaaa?

Duuuuu hao jamaa wanamoyo sana.
 
Hivi hakuna chama cha madaktari ni vema sasa wakawa na sehemu yao pakusemea pale wanapooonewa
 
madaktari mmesikia huyu mtu akiumwa akaja kwenu nadhani mnajua mumsaidiaje...ingekuwa mi daktari hahahaa Kama anaumwa akaja kwangu nampa nusu kaputi alafu "namtibu tartiiibu"

Ndio maana Wewe SIO daktari.
 
Huyu mama anasifika kwa fitna
 
Hawa makada bana karibu wote ni Bashite Bashite,Zero gainners
 
Amchome sindano ya sumu afu amwambie nshapata akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…