Tukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!

Ha ha haaa Arushaone hii inakuhusu .Yani hata Mkuu mwenye mkoa alitimua vumbi hivo kuiwahi ndege?! Huku Dar safari hazituishi kila siku nje ya nchi tunataliiTukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!
Tukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!
Tukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!
MSALANI nahisi atakuwa alkiwaona labda wakati anatoka ofcn kwenda lunch, na wakati wa kurudi ofcn pia baada ya lunchWewe ulienda kufanya nini hapo kama nawe si wale wale unaowashangaa?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums