Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,356
- 21,390
Mimi ni miongon mwa Watu waliokuwa wanapinga Vijana kupewa Madaraka kama Ukuu wa Wilaya na Mkoa,nilikuwa natambua ni vyeo vya heshima na vinavyohitaji hekima na busara katika kuwaongoza Watu wa eneo husika,sikuzoea kuona upuuz unaofanywa na hawa viongoz sasa nimeuona,kipindi cha hapo nyuma kulikuwa hakuna mgogoro wa Mkuu wa Wilaya/Mkoa na Wananchi au na Viongoz kila mmoja alitambua majukumu yake lakini sasa tunashudia miongon mwa viongoz hawa wanakula mpaka rambi rambi za wafiwa,hii ni laana,pesa zetu za miradi zitakuwa salama?,najaribu kujiuliza bila majibu
Na ukihoji wanasema utapotezwa.Hii ndiyo awamu ya Tano bwana.Awamu ya Chuki na visasi vya waziwazi.
Ngoja tusubiri tuone mwisho,Yawezekana akina Gambo wataishi milele.