RC Mhitta: Rais Samia ameleta Shinyanga shilingi boilioni 492 kukamilisha vijiji vyote 506 vya Mkoa wa Shinyanga kuwa na Umeme kwa ushirikiano na REA

Mwanahabari Huria

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
297
Reaction score
172
1754218261187.png

Serikali ya awamu ya sita imetoa kiasi cha TZS492bn kupitia TANESCO na REA Mkoani Shinyanga kwa ajili ya miradi mbalimbali ya Umeme. Katika kipindi cha miaka minne ya Raisi Samia Serikali kupitia wakala wa Nishati vijijini (REA) imetekeleza mradi kwa TZS11.18bn na kusambaza umeme katika vitongoji 90 na vijiji vyote 506 vya Mkoa wa Shinyanga vimeunganishwa na umeme pamoja na vitongoji 982 kati ya vitongoji 2,704. Kuendelea na utekelezaji wa mkakati wa nishati safi ya kupikia ambao umelenga kuboresha afya ya jamii na kulinda mazingira safi ya kupikia kwa kutoa Elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia na kugawa mitungi 6,500 ya gesi na Kukamilisha utekelezaji wa miradi 133 ya usambazaji mitungi ya gesi 6,500 ili kuendeleza matumizi ya nishati safi kwa ajili ya biashara ndogo hasa upishi.

Katika kipindi cha miaka minne ya Raisi Samia Serikali kupitia wakala wa Nishati vijijini (REA) imetekeleza mradi kwa TZS11.18bn na kusambaza umeme katika vitongoji 90 na vijiji vyote 506 vya Mkoa wa Shinyanga vimeunganishwa na umeme pamoja na vitongoji 982 kati ya vitongoji 2,704. Kuendelea na utekelezaji wa mkakati wa nishati safi ya kupikia ambao umelenga kuboresha afya ya jamii na kulinda mazingira safi ya kupikia kwa kutoa Elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia na kugawa mitungi 6,500 ya gesi na Kukamilisha utekelezaji wa miradi 133 ya usambazaji mitungi ya gesi 6,500 ili kuendeleza matumizi ya nishati safi kwa ajili ya biashara ndogo hasa upishi.
 
Huu ni uongo na uchawa wa kiwango cha sgr. Danduhu-Buyubi, Kindagili-Itwangi, Isanja-Itwangi n.k umeme wanauona kwa mbali tu hata nguzo za danganya toto wanaziona Imenya na Tinde barabarani.

Pale Danduhu ya Buyubi kuna nyumba zaidi ya 500 na zimepangika ila TANESCO/REA hawazioni, umeme walipeleka kwa mfanyakazi wao na jirani zake huku wengine nguzo zikibebwa na kutokomea kusikojulikana (2024).
 
View attachment 3429477

Serikali ya awamu ya sita imetoa kiasi cha TZS492bn kupitia TANESCO na REA Mkoani Shinyanga kwa ajili ya miradi mbalimbali ya Umeme. Katika kipindi cha miaka minne ya Raisi Samia Serikali kupitia wakala wa Nishati vijijini (REA) imetekeleza mradi kwa TZS11.18bn na kusambaza umeme katika vitongoji 90 na vijiji vyote 506 vya Mkoa wa Shinyanga vimeunganishwa na umeme pamoja na vitongoji 982 kati ya vitongoji 2,704. Kuendelea na utekelezaji wa mkakati wa nishati safi ya kupikia ambao umelenga kuboresha afya ya jamii na kulinda mazingira safi ya kupikia kwa kutoa Elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia na kugawa mitungi 6,500 ya gesi na Kukamilisha utekelezaji wa miradi 133 ya usambazaji mitungi ya gesi 6,500 ili kuendeleza matumizi ya nishati safi kwa ajili ya biashara ndogo hasa upishi.

Katika kipindi cha miaka minne ya Raisi Samia Serikali kupitia wakala wa Nishati vijijini (REA) imetekeleza mradi kwa TZS11.18bn na kusambaza umeme katika vitongoji 90 na vijiji vyote 506 vya Mkoa wa Shinyanga vimeunganishwa na umeme pamoja na vitongoji 982 kati ya vitongoji 2,704. Kuendelea na utekelezaji wa mkakati wa nishati safi ya kupikia ambao umelenga kuboresha afya ya jamii na kulinda mazingira safi ya kupikia kwa kutoa Elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia na kugawa mitungi 6,500 ya gesi na Kukamilisha utekelezaji wa miradi 133 ya usambazaji mitungi ya gesi 6,500 ili kuendeleza matumizi ya nishati safi kwa ajili ya biashara ndogo hasa upishi.
Kazi nzuri sana
 
Akitoa hela za mama ila deni linakua la Taifa
interesting 🤣
Tuanze kuliita deni la mama
 
Back
Top Bottom