Huyo RC, uchawa utamuua!Haiwezekani kiongozi wa serikali awe msemaji wa anao waongoza.
Lini sisi wana Mbeya tumewahi kuketi na wewe tukakuambia kuwa hatuna malalamiko na maumivu ya tozo??
....Eti.....Etc..... WALIOPO HAPA MBEYA, HILI SUALA LA MALALAMIKO YA TOZO HUKU HAKUNA. SISI TUNAHANGAIKA KUHAKIKISHA HUDUMA ZA AFYA ZINAIMARIKA KWA KUCHANGIA SISI WENYEWE WATANZANIA.....
Hii ni kufuru na dharau kubwa Sana kwa Wana Mbeya.View attachment 2352836
Unaposhiba kama huna akili utawasahau na kuwakebehi wenye njaaHaiwezekani kiongozi wa serikali awe msemaji wa anao waongoza.
Lini sisi wana Mbeya tumewahi kuketi na wewe tukakuambia kuwa hatuna malalamiko na maumivu ya tozo??
"Waliyopo hapa Mbeya,hili swala la malalamiko ya Tozo huku hakuna. Sisi tunahangaika kuhakikisha huduma za afya zinainarika kwa kuchangia sisi wenyewe Watanzania"
Hii ni kufuru na dharau kubwa Sana kwa wana Mbeya.
View attachment 2352836
Huyu Muhishimiwa itakuwa karogwa na Watu wa Katavi, kwa kuwadanganya kuwa atawajengea hospitali ya rufaa ya Wachawi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi.Haiwezekani kiongozi wa serikali awe msemaji wa anao waongoza.
Lini sisi wana Mbeya tumewahi kuketi na wewe tukakuambia kuwa hatuna malalamiko na maumivu ya tozo??
"Waliyopo hapa Mbeya,hili swala la malalamiko ya Tozo huku hakuna. Sisi tunahangaika kuhakikisha huduma za afya zinainarika kwa kuchangia sisi wenyewe Watanzania"
Hii ni kufuru na dharau kubwa Sana kwa wana Mbeya.
View attachment 2352836
Ukimudu kupanda daladala utaona watembea kwa miguu wazembe au wavivu kutafuta.Unaposhiba kama huna akili utawasahau na kuwakebehi wenye njaa
Nadhan n mzaliwa wa songea mm nilimuacha darasa moja huko kigonsera secondariKabila gani huyu Bwana
Unaposhiba kama huna akili utawasahau na kuwakebehi wenye njaa
Mbona ana rohombaya sana?Nadhan n mzaliwa wa songea mm nilimuacha darasa moja huko kigonsera secondari
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app