RC Makonda yupo wapi?

RC Makonda yupo wapi?

Yupo chimbo anaandaa sinema nyingine baada za ile ya matunzo ya watoto walioachwa na baba zao kubuma vibaya sana na pia ile ya Tezi dume imekosa mvuto
 
Malaika mkuu ameamua kweli. Bash and co. are in a serious trouble.
 
Kwa muda mrefu sasa mkuu wa mkoa wa Dar sijamsikia ni kama zaidi ya wiki 2 na siku hivi. Nini kimempata mkuu huyu maana najua huwa sio kawaida yake kukosekana kwenye media kwa muda mrefu hivi.

Naona na Dada yake mange kasema kuna majanga yamempata japo hajafanunua. Hebu wajuzi wa mambo tupeni information.
YUPO LIVE SASA..
BREAKING NEWS: Rc Makonda Anazungumza Muda Huu via YouTube
 
Back
Top Bottom