RC Makonda yupo wapi?

Mwezenu ameshatajirika nyie mnashika kijana anaejituma.....kila mtu hula kazini kwake
 
Huyu boss wa mkoa alifanikiwa sana kudeal na biashara ya machinga likini bosi wake akamkatisha tamaa kwa agizo lake kuwa machinga asibughuziwe. Bila shaka anachelea kutumbuliwa iwapo angekaidi kutii agizo lile. Leo tunashuhudia machinga wamepanga bidhaa zao barabarani. Nani ajivishe mabomu kwa kuhoji kibali cha mkuu wa nchi? Tafakari!
 

Hatareeeeee
 

Dah! Wamatumbi kwa Hila, hapa umezidi
 
Yaani unafurahisha, wewe mwenyewe unaandika hapa KUULIZA WAPI ULIPO
 
Acha shobo wewe.vyeo vimeshajazwa kote...... afterall huyu unayemshobokea hana nafasi za uteuzi
 
Wameenda kwenye matibabu na wife, umri unasonga nae anahitaji kitwa baba.
 
Ameenda kujifunza mbinu za kutunza mazingira.
 
Jama paulo makonda yuko wapi anaejua nini siri ukimya wake atujuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…