RC Makonda nisaidie kujibu maswali haya

Nitampongeza kwa kuwataja hadharani wauza madawa ya kulevya wa ufipa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Habari wana jamii forums je ukipata habari ya kukutana na Rc mchapakazi bw Paulo Makonda simba wa vita utamuuliza nini uupande wangu nitamuuliza ni lini muuza madawa papa mwenyekiti wetu wa chama chetu(cdm) atafikishwa mahakamani lini?
alete vyetii

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Habari wana jamii forums je ukipata habari ya kukutana na Rc mchapakazi bw Paulo Makonda simba wa vita utamuuliza nini uupande wangu nitamuuliza ni lini muuza madawa papa mwenyekiti wetu wa chama chetu(cdm) atafikishwa mahakamani lini?

Sina hakika kama akili ulizonazo zinakuwezesha hata kutawadha uendapo msalani,watu hopeless wa aina yako sidhani hata kama jamii ya zama za mawe walikuwepo,ndiyo pamoja na uduni wa teknolojia watu wa zama za mawe waliweza kutumia malighafi zilizopatikana katika mazingira yao kujitengenezea zana mbalimbali.

Katika dunia ya sayansi na teknolojia na mapindizi ya viwanda,hatutegemei mtu aanze kufikiri kwa kutumia makalio huku akiutumia "mfumo wake wa utoaji taka mwili kumuweka mjini.Hii ni aibu. Hivi huko ccm kuna watu wanaofikiri sawasawa au kuna misukule tu yenye kazi ya kupanua midomo ili imiminiwe" taka za makinikia"zitokazo kiumeni? Kwa watu wa aina yako bado tuna mtu anajiita kiongozi,uongozi wa kuchaguliwa na watu jamii ya hili bwabwa unamdharirisha hata huyo ajiitaye kiongozi, aibu sana.
 
Nitamuuliza utarudi lini clouds.

Sent from my KUKUBATA using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru kwa kuweka Uzi huu, binafsi nilikuwa namfuatilia saana PAUL MAKONDA, toka alipoteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya KINONDONI.
Alipoteuliwa niliona amependelewa saana hakustahili kutawala wilaya kama kinondoni, nilijisemea moyoni kama ni kumuandaa ilipaswa aanzie wilaya ndogondogo ndipo aje Dar akiwa Amekomaa kiutawala.
Lkn aliniprove wrong, alichapa kazi alitoa miongozo sahihi kwa wachini yake,alifuatilia miradi yote ya umma kwa ufanisi,japo alipitiliza ktk majukumu kiasi cha kugongana kimajukumu na mstahiki meya JACOB .
Baada ya hapo akapanda cheo na kuwa mkuu wa mkoa hakika sikutilia shaka uteuzi huo na niliona moja ya uteuzi bora kabisa kufanywa na mh Rais wetu. Dr JPM na amekuwa akifanya kazi nzuri Japo alipitiliza kiutendaji pale alipotaka kuwa polisi no 1 ktk mkoa dosari nyingine ni hili sakata la VYETI. binafsi nilitegemea MTU jasiri kama yy kutoka hadharani na kuonesha nn alichonacho,kuliko kukaa kimya kiasi S's mashabiki wake kutuweka katika dilemma .
Katika kumfuatilia kwangu na moja ya maswali ambayo naweza kumuuliza ni : VP amesahau alipotuhabarisha wana Daressalama kuwa atawapa wakuu wa wilaya majukumu ya kufanya.
Kisha ataweka "bunge" la wazi pale karimjee na kila mwanadar ahudhurie amsikilize mkuu wake wa wilaya akielezea kazi za maendeleo alizozifanya ktk himaya yake. Mh tunasubiri hilo au HALITEKELEZEKI
 
Mimi ningemwomba mikakati ya kuliweka jiji safi .Kwa sasa hali ni mbaya sa RC .Maji machafu yanajitiririkia tu ,takataka.Sheria ndogondogo za miji au jiji hakuna anayefuatilia.Watendaji wako.busy na vitu vingine.Vibanda vya ajabuajabu viko kila mahali hata barabara hazipotiki yaani kuna sehemu ukitokea moto inabidi vibanda vivunywe.Watu wanafunga sikatai ila kuna ambao si wastarabu wanaachia mifugo ovyo na kwa sababu ni makada wa chama tukisema tunaambiwa wapinzani.Yaani utafikiria tupo misituni kumbe DAR.Makonda ni hayo tu ningemweleza.Mengine namwachia Raisi kama ameamua kuondoa wenye vyeti feki na kumwacha yeye Mungu anamwona.Wote tutazikwa tu huko chini haijalishi wewe ni kabwela,raisi au RC .Mungu atatuhukumu tu
 
Habari wana jamii forums je ukipata habari ya kukutana na Rc mchapakazi bw Paulo Makonda simba wa vita utamuuliza nini uupande wangu nitamuuliza ni lini muuza madawa papa mwenyekiti wetu wa chama chetu(cdm) atafikishwa mahakamani lini?
Unamuongelea huyu bashite au
 
Na mbowe nae ajiuzuru maana alipata zero hahahaha
Seriously ! Mbowe ni anaongoza chama na yeye ni mteuliwa wa mkuu analipwa kodi zetu. Angekuwa mwenyekiti wa vijana huyo bashite wenu anaye abuse degree asingeambiwa ajiuzulu kwani hili siyo lazima uwe umesoma

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
kafoji cheti we ni necta acha kutoa hoja zisizo na mashiko
Majina yake haya exist NECTA wala shule alizosoma kote anatokea Bashite tu. Hata mobile ya baba yake kupita kama una true caller inasoma jina bashite

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru kwa kuweka Uzi huu, binafsi nilikuwa namfuatilia saana PAUL MAKONDA, toka alipoteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya KINONDONI.
Alipoteuliwa niliona amependelewa saana hakustahili kutawala wilaya kama kinondoni, nilijisemea moyoni kama ni kumuandaa ilipaswa aanzie wilaya ndogondogo ndipo aje Dar akiwa Amekomaa kiutawala.
Lkn aliniprove wrong, alichapa kazi alitoa miongozo sahihi kwa wachini yake,alifuatilia miradi yote ya umma kwa ufanisi,japo alipitiliza ktk majukumu kiasi cha kugongana kimajukumu na mstahiki meya JACOB .
Baada ya hapo akapanda cheo na kuwa mkuu wa mkoa hakika sikutilia shaka uteuzi huo na niliona moja ya uteuzi bora kabisa kufanywa na mh Rais wetu. Dr JPM na amekuwa akifanya kazi nzuri Japo alipitiliza kiutendaji pale alipotaka kuwa polisi no 1 ktk mkoa dosari nyingine ni hili sakata la VYETI. binafsi nilitegemea MTU jasiri kama yy kutoka hadharani na kuonesha nn alichonacho,kuliko kukaa kimya kiasi S's mashabiki wake kutuweka katika dilemma .
Katika kumfuatilia kwangu na moja ya maswali ambayo naweza kumuuliza ni : VP amesahau alipotuhabarisha wana Daressalama kuwa atawapa wakuu wa wilaya majukumu ya kufanya.
Kisha ataweka "bunge" la wazi pale karimjee na kila mwanadar ahudhurie amsikilize mkuu wake wa wilaya akielezea kazi za maendeleo alizozifanya ktk himaya yake. Mh tunasubiri hilo au HALITEKELEZEKI
Eti wewe ni Bashite?
 
Back
Top Bottom