Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
NITAMUUNGA MKONO MAKONDA VITA YA "NGADA" AKINIJIBU MASWALI HAYA
(1).Katika vita hii kiko wapi Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya kinachoongozwa na Kamanda Nzowa ambaye ofisi yake inatumia kodi za umma na amekuwa akitoa taarifa kila mara juu ya hali ya dawa za kulevya nchini?
(2). Je, sheria iliyounda chombo hicho (1) kinatoa madaraka kwa RC kutangaza majina ya watuhumiwa wa drugs bila kuhusisha ofisi ya AG, DPP na Waziri Mkuu?
(3). Miezi 3 iliyopita RC Makonda alimtuhumu Kamanda Sirro kuhongwa na wauza shisha ambayo ni drug kwa tafsiri ya Makonda. Jeshi la Polisi likaahidi kuchunguza tuhuma hizo dhidi ya Sirro na Kaganda.
Swali: Je, Taarifa ya uchunguzi huo umetolewa kwa umma na kumsafisha Sirro ambaye ndiye yuko mstari wa mbele katika vita hii?
(4). Je, wale watu 10 waliotaka kumuhonga RC wetu 5m kila mmoja nao wamo kwenye orodha ya majina Phase I au Phase II ya leo? Ni kina nani?
(5). Je, ikithibitika aliowatuhumu hadharani ni safi baada ya Ijumaa atatangaza tena hadharani kuwa ni watu safi? Ikiwa hivyo atajipima?
NOTA BENE: Bado ninaamini vita hii ingefaulu kimya kimya kwa kuweka mitego na kuwanasa wauza ngada. I stand to be corrected!