binafsi nilishangaa sana kama kweli alitamka hayo basi tutegemee mvutano na mikwaruzano Kati yake na mameya wa ukawa, kwa maoni yangu hilo jiji lingepata RC aina ya Abbas Kandoro au William lukuvi ingekuwa Safi sana, hawa watu wana busara, utulivu wa akili na hawana mihemuko ya kisiasaEti ndo anasema UKAWA hawana chao Dar. Yeye ndo Rais wa jiji na mkoa wa Dar. Hawawezi kuamua chochote bila yeye kukipitisha. Hivi halmashauri zinaongozwa kwa matakwa ya huyu Makonda au kwa mujibu wa sheria za serikali za mitaa? Na je, kila kitakachojadiliwa na kupitishwa na baraza la madiwani lazima kipitishwe na Makonda?
ana vituko huyu,toka lini amekuwa mjumbe wa baraza la madiwani wa Jiji.angesema anapitisha barua za kwenda kuzindua matamasha au kukata utepe tungemuelewaEti ndo anasema UKAWA hawana chao Dar. Yeye ndo Rais wa jiji na mkoa wa Dar. Hawawezi kuamua chochote bila yeye kukipitisha. Hivi halmashauri zinaongozwa kwa matakwa ya huyu Makonda au kwa mujibu wa sheria za serikali za mitaa? Na je, kila kitakachojadiliwa na kupitishwa na baraza la madiwani lazima kipitishwe na Makonda?
ana vituko huyu,toka lini amekuwa mjumbe wa baraza la madiwani wa Jiji.angesema anapitisha barua za kwenda kuzindua matamasha au kukata utepe tungemuelewa
UbungoJimbo gani analitaka??
Dah,mbona una dharau sana na kazi za watu?hebu nipe ufafanuzi kazi kama kazi ni lazma iwe na nini cha ziada?Ifahamike boda boda sio ajira ila ni kazi ya kuwawahisha watu kwenye ajira zao! Kazi hii inatakiwa kufanywa na chombo kimoja cha usafiri! (Maana yake kuboresha usafiri wa umma) hivyo hawa vijana Walitakiwa wawe na kazi za kufanya! Hivyo kiuchumi boda boda na kucheza pool table hakuna tofauti ila wanasiasa wamejitoa uelewa
Kweli tupuIfahamike boda boda sio ajira ila ni kazi ya kuwawahisha watu kwenye ajira zao! Kazi hii inatakiwa kufanywa na chombo kimoja cha usafiri! (Maana yake kuboresha usafiri wa umma) hivyo hawa vijana Walitakiwa wawe na kazi za kufanya! Hivyo kiuchumi boda boda na kucheza pool table hakuna tofauti ila wanasiasa wamejitoa uelewa
teh tehKipofu kaona tembo kila kitu ni kama tembo.
uwe na mkataba,,.ukatwe kodi kwa pato lako unaloingiza,.nyi boda mnakatwa kodi??????Dah,mbona una dharau sana na kazi za watu?hebu nipe ufafanuzi kazi kama kazi ni lazma iwe na nini cha ziada?
Uko sawa kabisa mkuu, bodaboda si ajira, ni wanasiasa kujitafutia popularity tu.Ifahamike boda boda sio ajira ila ni kazi ya kuwawahisha watu kwenye ajira zao! Kazi hii inatakiwa kufanywa na chombo kimoja cha usafiri! (Maana yake kuboresha usafiri wa umma) hivyo hawa vijana Walitakiwa wawe na kazi za kufanya! Hivyo kiuchumi boda boda na kucheza pool table hakuna tofauti ila wanasiasa wamejitoa uelewa
Hapa Magu kapotea bora angemuacha Meck hapohapo. Makonda anasumbuliwa na utoto kichwani mwake, amepewa kazi inayomzidi umriEti ndo anasema UKAWA hawana chao Dar. Yeye ndo Rais wa jiji na mkoa wa Dar. Hawawezi kuamua chochote bila yeye kukipitisha. Hivi halmashauri zinaongozwa kwa matakwa ya huyu Makonda au kwa mujibu wa sheria za serikali za mitaa? Na je, kila kitakachojadiliwa na kupitishwa na baraza la madiwani lazima kipitishwe na Makonda?