RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

Yeye anadhani anawpiga vijembe na kuwakomoa USA, si uliona baada ya kupigwa ban ya kuingia US baada ya siku 3 akaonekana ubalozi wa China, yani huyu jamaa sijui anaogopwa sijui kuna nini hapo
 
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini. Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.

Wageni wanataraji kunywa, kula, kustarehe na kulala hapa kwetu. Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".


Ana fursa ya kuviamuru vyombo vya usalama vy kiintelijensia kuwasaka na kuwakamata wahusika, vilevile waliomvujishia siri watakuwa na taarifa kamili juu ya jambo hilo kwahiyo tunatarajia kusikia wahusika wametiwa nguvuni
 
Back
Top Bottom