Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema katika mkoa wake waliamua kuifanya ajenda ya barabara kuwa kipaumbele kuanzia kwa kiongozi ngazi ya chini hadi wa juu.
Makonda ametoa kauli hiyo jana Jumamosi Aprili 26, 2025, wakati wa maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Soko la Kilombero, mbele ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025