Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,835
Hili jamaa ni liuaji lina roho ya kutu
Ebu tumia akili, CCTV haiami huwa inachukua upande ulio selected, hapo ni reception ambapo hiyo CCTV imetegwa na imechukuwa wale waliopita mbele ya cameraSaa 4 usiku akiwa na majambazi wenzake.
Kweli rafiki mkubwa anaweza kugeuka na kuwa adui mkubwa, makonda sasa anagombana na kila aliyewahi kuwa rafiki yakeHulka ya ngamia ni moja ukimkaribisha kwenye kibanda chako jangwani ili apate ahueni ya jua kali la jangwani tarajia kifuatacho... Hataingiza kichwa tu ataingiza mwili wote na kukifumua kibanda chote.... Huyu ndio ngamia mkaribishe kwa ukarimu lakini tarajia haya
Kuna Mabinti wengi kweli leo wanajuta kwavile walirubuniwa wakarubunika walipoambiwa NAINGIZA KICHWA TUU....(Kwani uliambiwa ina mabega ile) matokeo yake ilizama yote na kilichofuata ni mengine makubwa yasiyotegemewa... !
Kila tokeo baya ni tunda la uovu... Ambush iliyofanyika clouds media na askari na wanajeshi wenye silaha za moto ni kitu kigeni kabisa kwetu, na si tukio la ujambazi la hasha ni kiongozi mkubwa akitaka matakwa yake yatimizwe
Kila jambo na wakati wake juzi ilikuwa furaha mkamshangilia mkamakaribisha kwa mbwembwe zote na kummwagia maji,leo karudi na mitutu
Poleni clouds media... Kila mchuma janga....
Eti naingiza kichwa tuHulka ya ngamia ni moja ukimkaribisha kwenye kibanda chako jangwani ili apate ahueni ya jua kali la jangwani tarajia kifuatacho... Hataingiza kichwa tu ataingiza mwili wote na kukifumua kibanda chote.... Huyu ndio ngamia mkaribishe kwa ukarimu lakini tarajia haya
Kuna Mabinti wengi kweli leo wanajuta kwavile walirubuniwa wakarubunika walipoambiwa NAINGIZA KICHWA TUU....(Kwani uliambiwa ina mabega ile) matokeo yake ilizama yote na kilichofuata ni mengine makubwa yasiyotegemewa... !
Kila tokeo baya ni tunda la uovu... Ambush iliyofanyika clouds media na askari na wanajeshi wenye silaha za moto ni kitu kigeni kabisa kwetu, na si tukio la ujambazi la hasha ni kiongozi mkubwa akitaka matakwa yake yatimizwe
Kila jambo na wakati wake juzi ilikuwa furaha mkamshangilia mkamakaribisha kwa mbwembwe zote na kummwagia maji,leo karudi na mitutu
Poleni clouds media... Kila mchuma janga....
At this stage alitakiwa awe mapumziko hata ya lazima kila hatua yake ya sasa anazidi kulikoroga na kuzidi kumchafua aliyemteuaThe guy is no longer in stable mental condition at the moment. Bora angeendelea tu na likizo yake huko kwa Madiba.
Hata kama unajijua ni Fa Fa Fa basi jifiche usiuonyeshe kwa kila mtu.. Angalia hiyo video itakuonyesha muda na siku na kama unaangalia kipindi cha Shilawadu huyo kijana ungemfahamuWabongo bwana...
Tutajuaje kama hapo ni ofisi za Clouds media...
Tutajuaje kama ndio alikua ana kwenda kumchafua Gwajey na sio siku zingine za nyuma...
Kivideo chenyewe Robo lita.
Aiseee kwny upande wa Makonda dunia nzima mmebaki wewe ,Lemutuz na Magu, huwezi amini hadi mkewe naskia ameomba talaka asbh hiiNa wewe pia
Makonda oyeeeeeee
Mungu ndio atawaibisha tuuu
Jana tulisema hapa kwamba Kuna habari za Makonda kuvamia Clouds. Watu walikataa na kutukana sana bila kuvuatilia. Haya nendeni Instagram Mange kawawekea Ushahidi.
Yani Makonda anatumia vibaya sana madaraka yake. Mh Rais Please, stop this Man.
Upo sahii mkuuu. Tena hapa ana jeshi. Ni rahisi ndye anayeamrisha jeshi kutokea kwenye matukio kama hya. Yani hapa Magufuli anahusika moja kwa moja. Mkuu wa mkoa hwezi fanya hya bila baraka ya aliyemuweka hpaAlafu hii ishu aliipanga na mkulu...sio Bashie pekeyake....maana haiwezi kuwa rahisi hivyo mkulu kuisifia shilawadu...in a week kikaja kioja hicho....mkulu alitaka watu tuamini habari za shilawadu...na tu-draw attension kwa habari za vipindi hivyo.
Shame on this uongozi
Kweli bana, footage iko kwa instagram bishop gwajima