wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,596
- 29,525
[emoji2][emoji2]
Kigogo2014 anawachora tu
Kigogo2014 anawachora tu
Wewe lazima ni mchawiKuna watu wanajua kuwatia watu ubaya, si dhani Kama Bi Mjema aliishia hapo au alisema hivyo from no where.
Hivi karibuni makanisa yakilokole yameanzisha tabia ya kufanya ibada zao katikati ya wiki mpaka saa sita usiku wakifungulia mziki mkubwa na ukichunguza ndani utakuta wapo waumini wawili au watatu.
Mfano mzuri wale wakazi wa Salasala A Kuna Nabii mmoja anajiita Flora.
Hebu mleta uzi tupe taarifa kamili kabla hatujamchamba mtu kwa uonevu
Kama anaweza awambie Free Mansons utanipa taarifa badaeNi kweli watu wanasali sanaa kuliko kufanya kazi hasa walokole
bashite kamaind kaona asijefunikwa buureMkuu wa wilaya Sophia Mjema alichemka mno kwa agizo lake .Mkuu wa Mkoa Yuko sahihi
Waitara hajatoa Hilo tamko anahusikaje?hapa anatafutwa waitara. imetengenezwa sinema makonda aje kutengua ili aonekane anajali sana imani na dini za watu.