Rc Makonda apokea Mwenge, GWAJIMA aponda asema huu Mwenge unatuLaza ukipitishwa Nchi nzima

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Jana Rc Makonda amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru jijini Dsm, ukitokea mikoa mbalimbali nchini Tanzania ambao utazindua miradi mbalimbali Itakayozinduliwa katika wilaya mbalimbali mkoani Dsm

Gwajima leo anasema haoni faida yoyote ya Mwenge wa Uhuru kuzunguka nchi nzima, asema sio lazima ukapelekwa sehemu zote za Tanzania au ndo unalaza akili za watu mapema bila sisi kujua....
 
Lengo la Mwenge lilikuwa zuri tu enzi za Mwl Nyerere na tuliona matunda ya Mwenge.

Nakumbuka sana Mwenge ilikuwa ukipita lazima usafishe wazembe,wala rushwa,wafisadi,wahujumu uchumi,na viongozi wabovu.ulikuwa kweli unamulika.

Lakini siku hizi Kuna bla bla nyingi ktk mbio za Mwenge na siasa inatawala sana Kulikoni utaifa.
 
kweli huu ni mwaka wa shetani kwa bashite,yaani pamoja na kupokea mwenge hakuna chombo cha habari chochote kilichoripoti!
 
Ingekuwa "enzi za Mwalimu" mwenge ungesha'mtumbua' huyo aliyeupokea yaani 'Mr.Zero'coke Yaani kwa lugha ile 'mzee wa fa~fa~fa!!!
 
Back
Top Bottom