GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,902
- 10,503
RC wa Dar kawafanyia lini evaluation maDC wote na kufikia hii conclusion?
Walati dc wa kisarawe juzi kamfunika
DangaKuna wakati Makonda huwa anajisahau na kudhani yeye ni Magufuli..
ametumia vigezo gani kumpata?Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema DC wa Pangani ambaye ndiye mwenye umri mdogo kuliko madc wote ndio mkuu bora wa wilaya kuliko wengine wote.
Makonda amesema mkuu huyo wa wilaya ambaye ni mwanadada ni mbunifu na asiyechoka katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Pangani na mkoa wa Tanga kwa ujumla.
Kadhalaka mh Makonda ametoa zawadi ya gari kwa malkia wa nguvu ambayo ataikabidhi siku ya Mei mosi pale uwanja wa uhuru.
Source Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
Kama mkuu wa mkoa !Yeye amesema hivyo kama nani?
Amesema hivyo kwa mamlaka au wajibu gani? Kindly advice him to stop insubordination he always commits.Kama mkuu wa mkoa !
Zote zake hapo sasaAnapambana na jokate.
Ndiyo kusema huoni!Naona giza
Kimalkia (lugha) hicho kigumu mkuu. Weka na tafsiri yake hapo . Wengine hatukuelewi mzee babaAmesema hivyo kwa mamlaka au wajibu gani? Kindly advice him to stop insubordination he always commits.