RC Makonda ammwagia sifa Mkuu wa Wilaya ya Pangani, atoa zawadi ya gari

Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema DC wa Pangani ambaye ndiye mwenye umri mdogo kuliko madc wote ndio mkuu bora wa wilaya kuliko wengine wote.

Makonda amesema mkuu huyo wa wilaya ambaye ni mwanadada ni mbunifu na asiyechoka katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Pangani na mkoa wa Tanga kwa ujumla.
Kadhalaka mh Makonda ametoa zawadi ya gari kwa malkia wa nguvu ambayo ataikabidhi siku ya Mei mosi pale uwanja wa uhuru.

Source Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
ametumia vigezo gani kumpata?
 
Back
Top Bottom