RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

Ukuu wa mkoa sio taaluma.
Na hakuna mtu mwenye cheti cha ukuu wa mkoa.
Ile sio fani.
Hata akisema yeye ni darasa la saba tuu bado anaweza kuwa mkuu wa mkoa.

Makonda chapa kazi na endelea kuwatana wauza unga na sasa ni zamu ya viruba pia.

Vyeti vyako hatuvihitaji mana ukuu wa mkoa sio fani ya kitaaluma kama ilivyo ualimu,udaktari n.k.

Ukuu wa mkoa ni taasisi za kidola tunahitaji watendaji zaidi na sio vyeti.

Wapo wengi wanaosingiziwa kuwa wana vyeti feki lakini wanachapa kazi tu. Hasa ndani ya vyombo vya kidola.
Tusifukue makaburi kutafuta mifupa.
Kazi tu ndio tunataka kuiona kwa makonda.
 
hata akivitoa mtasema ni vya kugushi.. kwani mna maana nyie. muacheni aendelee na kazi zake na nyie endeleeni na ya kwenu. hata hivo cheti hicho mnachotaka haikuwa criteria ya kuchaguliwa kwake.
Vita muhimu ni ya madawa ya kulevya. Kuondoa mateja wote mitaani, na kurudisha vijana wenye nguvu na faida kwa taifa lao.

Hizi habari za cheti zinakuja baada ya vita kali ya ngada kuanzishwa. Cheti awe nacho asiwe nacho, hiyo siyo hoja ya msingi na yenye faida kwa kulinganisha na uokoaji wa kizazi kinachopotezwa na madawa ya kulevya pamoja na viroba.
 
Vita ya madawa ya kulevya ipo kwa kamishana na pia ahusiki katika kuongoza kikosi
Bashite hii ni sawa na kujamba mfululizo utanuka tu
 
Safarihii Chadema wamekutana na jeshi la mtummoja anawakimbiza kwelikweli povu linawatoka. Makonda shikilia hapohapo, Ukisikiakelelenyingi ujue dawa inaingia. Unawalazanaviatu ata maMvi anaufahamu mziki wako. Ulimkalisha mapeeema, mbaka aka
mua aende kuinunua Chadema.
Ukimaliza tu uploadie na cheti mkuu....
 
Huyu jamaa anakiburi sana. Nacte wapo wapo tu kazi kuonea wanyonge tu. Poor Tanzania
Tulikuwa na rc anaitwa Mulongo alikuwa na kiburi cha hali ya juu acha huyu dogo. Yuko wapi?? Kila zama ina ngoma yake
Asubiri tuone mwisho wa kiburi chake.
 
Tulikuwa na rc anaitwa Mulongo alikuwa na kiburi cha hali ya juu acha huyu dogo. Yuko wapi?? Kila zama ina ngoma yake
Asubiri tuone mwisho wa kiburi chake.
Analima kabeji pale Musoma, kutoka u RC hadi kuwa peasant
 
Tatizo wabongo tunaendeshwa kwa matukio....yaan MTU anaweza akaamua kuwapoteza watu muelekeo kwa kuleta issue ya ajabu ajabu Tu ili mradi akijua kwamba kuna watu wataacha kujadili mambo nyeti NA ya msingi
 
Back
Top Bottom