Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 508
- 898
Ila huyu baba!
===========
"Dunia imeona naWwatanzania wameithibitishia dunia ya kwamba wakiamua kulinda amani wanailinda, wasiotutakia mema jana wameaibika. Watanzania wanapenda amani na hawajazoea mambo ya maandamano na uvunjifu wa amani na wale wote waliokuwa wanataka vurugu leo wamejifungua- wana maumivu kwani hawakufanikiwa." Amesema Makalla.
Makalla amebainisha hayo wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za kibiashara kwenye Soko la Kilombero Jijini Arusha, akiahidi kuwa serikali na vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Arusha vitaendelea kuhakikisha usalama na amani inakuwepo.