Source: RC Mulongo atuhumiwa ufisadi
Hii Habari iliandikwa kwenye Mwanahilisi Online tarehe 18.06.2015.
Ishu iko hivi kuna safari ya mafunzo Dubai ilifanyika mwaka jana , Miongoni mwa waliokuwemo kwenye msafara huo ni pamoja na
1. RC Magesa Mulongo ( alitakiwa kuwa kwenye msafara lakini hakuonekana na wajumbe wenzake)
2. Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Dr. Faisal Issa;
3. Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, John Wanga;
4. Meya wa manispaa hiyo, Henry Matata
5. Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango Miji, John Mpemba.
6. Meya, Stanslaus Mabula;
7. Ofisa Uhusiano, Joseph Mlinzi
Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango Miji, Adam Chagulani akienguliwa katika safari hiyo kwa sababu zisizojulikana.
Hata hivyo baadhi ya viongozi walioenda ziara Dubai, wameliambia Mwanahalisi online, Mulongo alichukua kiasi hicho cha fedha kwa madai ya kutangulia lakini hakuonekana Dubai kwa siku zote walizokaa huko.
Mwandishi alipompigia simu zaidi ya mara nne ili kujua ukweli wa tuhuma zake, licha ya simu yake kuita, Mulongo hakupokea.
Alipotumiwa ujumbe mfupi wa maneno (SMS) ulioeleza madai hayo, Mulongo alijibu “Issue nini, kama si kwenda au nilienda, yaani tatitizo unachotaka kujua nini.”
Mwandishi aliamua kumpigia simu tena, simu yake tayari ilikuwa imezimwa. Hata hivyo mwandishi alimtumia ujumbe wmingine akisisitiza kupata majibu ya maswali yake lakini Mulongo alijibu ‘No Comments.’
Mmoja kati ya wajumbe waliosafiri alilieleza MwanaHALISI online kuwa, “Kila mtu hapa anamjua Mulongo jinsi alivyo mbabe, haiwezekani akachukua fedha alafu asionekane katika ziara hiyo ambayo ilikuwa ni mhimu sana, amekuja kuharibu Mkoa wetu.”